swali kwa mabinamu na wapwa

swali kwa mabinamu na wapwa

  • Thread starter Thread starter GP
  • Start date Start date
Naona talaka haiko mbali sana.Wivu sina ila roho inauma.Au unataka kutingisha kiberiti? plz tell me you are just joking!

Just playing darling. Hakuna kitu kibaya kama kupewa talaka na umpendaye.
 
Mpwa kama unamjua binti au jimama au mdada anayeweza kutamka hayo maneno kwenye red, please mpe contacts zangu ASAP. Jamani kitu umepewa bure kwa nini ukibanie? Mama angebana mi ningezaliwa? Ila kwenye hiyo blue labda mpwa ufafanue kidogo. Kwamba kabinti (unajua mi na mahaba na watoto wa kike) kakizaliwa ndio basi tena siruhusiwi kukaona? No way meeeen!

XPin hahahaha we umeambiwa ukishampatia mtoto mkataba umeisha kumbe unataka nini tenas ??
 
Na nyie nao mnajivungisha tu vitu vyenu mmepewa bure kabisaa bila kulipia vat ..hahahah enendeni duniani mkaongezeke muijaze dunia tetetetete
Vyenu je? vina import duty kwani?? hahahaa! FL1 bana.
 
Tutaenda kumpa mkono wa heri? Mtori kwa wingi na mabiere ya kumwaga.
leo jamaa kavaa nepi.yaani huku sea-cliff ni kituko tu!umecheka hadi tunalia makazini huku
 
sasa kwa kinibu vipi?

dah, tutachekki mazee itakuaje. Wapwa ndio hivyo inatakiwa mnipe mazawadi na mazagazaga then tunayakonveti mida tunazama kwa kinibu!!
 
FL1 mwenzio huyu mpenzi nakosa hata la kusema.Ngoja niishie hapa,nisije mpeperusha bure.Ila nahisi natakiwa nimuone Nyamayao kwa ushauri zaidi.

hahaha yaaani huyu wa kwako hawezekaniki kabisa weye ndo umemzoe

mmmh pole
 
hahaha yaaani huyu wa kwako hawezekaniki kabisa weye ndo umemzoe

mmmh pole

Unataka kuvunja ndoa za watu weye. Haya turudi kwenye mada. We ungekuwa hujaolewa, afu dalili ya midume kukufukuzia hamna. Afu mambo flani unataka kabinti na fweza si matata. Kweli utaacha kutafuta kaserengeti boy ka1 kakupandishe mstima ulete kabinti duniani? Acha kuzuga, sema ukweli.
 
akitaka kabinti huyo ningependa anione mimi!I WAS BORN FOR THAT!isitoshe my daughter GIFT anahitaji mdogo-wake
 
akitaka kabinti huyo ningependa anione mimi!I WAS BORN FOR THAT!isitoshe my daughter GIFT anahitaji mdogo-wake

Hahaha! Sisi ni wataalam wa kuleta warembo duniani. Tumebarikiwa kwa hilo bwashee.
 
Back
Top Bottom