falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
nawauliza swali dogo tuu kwa leo, mbona video queen tunaowaona katika video zenu ni wazuri balaa kuliko mademu zenu na pia mara ingine hawafanani na umri wenu (agemates)
Umri wako please kabla hawajaja kukujibu
Wanatafutwa wazuri ili kunogesha video ivutie
ndio kwanini wasiwaambie hao madirector wawatafutie mademu wazuri badala yake wanakwenda kutoka na midemu mizee kama mama zao
Unajua wao wanataka mademu wazee ili video zao zizidi kupata kiki hasa wakiamini publicity is publicity whether positive or negative pia kupata attentions zaidi.
Basi usijali dada kuanzia sasa watawachukua nyinyi,hawata watumia halafu wanaenda kuchukua wabaya au wazee kuliko nyinyi hakika nyinyi ni warembo sana.ndio kwanini wasiwaambie hao madirector wawatafutie mademu wazuri badala yake wanakwenda kutoka na midemu mizee kama mama zao