Swali kwa masupastar wa bongo

Swali kwa masupastar wa bongo

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,189
Reaction score
9,299
nawauliza swali dogo tuu kwa leo, mbona video queen tunaowaona katika video zenu ni wazuri balaa kuliko mademu zenu na pia mara ingine hawafanani na umri wenu (agemates)
 
Mapenzi ni hisia bhana,unachagua kitu roho yako inapenda
 
Afu hawaolewi wanapigwq tuuu. Maisha yao magumu sana
 
nawauliza swali dogo tuu kwa leo, mbona video queen tunaowaona katika video zenu ni wazuri balaa kuliko mademu zenu na pia mara ingine hawafanani na umri wenu (agemates)

Umri wako please kabla hawajaja kukujibu
 
ndio kwanini wasiwaambie hao madirector wawatafutie mademu wazuri badala yake wanakwenda kutoka na midemu mizee kama mama zao

Unajua wao wanataka mademu wazee ili video zao zizidi kupata kiki hasa wakiamini publicity is publicity whether positive or negative pia kupata attentions zaidi.
 
ndio kwanini wasiwaambie hao madirector wawatafutie mademu wazuri badala yake wanakwenda kutoka na midemu mizee kama mama zao
Basi usijali dada kuanzia sasa watawachukua nyinyi,hawata watumia halafu wanaenda kuchukua wabaya au wazee kuliko nyinyi hakika nyinyi ni warembo sana.
 
Back
Top Bottom