Swali kwa mkuu STUNTER

Swali kwa mkuu STUNTER

Huyo jamaa ni kungwi, ngariba na SHILAWADU.... Hahahahaaaa.... Mwenyewe nishapataga shida kumuelewa huyu jamaa,... Na nakumbuka nilishawahi muulizaga mwenyewe,..... Ninachokiona kwa huyu jamaa kiukweli,... Huyu jamaa sio kwamba ni playboy, hapana! Ila huyu jamaa amesoma upepo wa watu wa humu ndani akajua members wengi wanapenda saaana habari za ngono na mahusiano,... Hakuna kitu kizuri kama unaandika post halafu ikawa na wachangiaji wengi, (Yaani kama Diamond tu) hasa habari inayowahusu wanawake... Na ni kweli STUNTER, hana habari zaidi ya hizo....
Pili huyu jamaa ni mediator..... Ni mtu anaependa kukosoa na kuelimisha kwenye masuala haya ya mapenzi, huku akiegemea sana kwa wanawake,... Anamkosoa mwanamke na kumsifia mwanamke,... Akiwa na lengo la kuwavutia wanawake walio na mahitaji ambayo kwake yanaonekana anayaweza kuyatekeleza, huyu ni FISI asiyetumia nguvu,.. Ni jini mahaba wa kisayansi.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
8662b82ede36db7b584718afce57d2c1.jpg



Huyu hapa [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
Me na muelewa sana huyu jamaa i wish ningekua na dadavua vitu ka yy.. [HASHTAG]#stunter[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom