Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kuna kitu hujakielewa mkuu mwakinyo kauza game kwa wahindi wa beting.
Na atabondwa tena, na safari hii atachakazwaMwakinyo shenzi katengeneza script ya uwizi eti wanarudiana January 23
[emoji38][emoji23][emoji23]hii nchi ngumu sanaImagine baada ya pambano amejirekodi video analia eti kapewa viatu vinamuumiza sana miguu ila chakushangaza anarekodi video hiyo akiwa kavaa viatu ivyo-ivyo anavyovilalamikia kuwa vinamuumiza miguu.
QmmmmmQe zakeViatu vinam'bana ila mpaka leo kavivaa
HahahaImagine baada ya pambano amejirekodi video analia eti kapewa viatu vinamuumiza sana miguu ila chakushangaza anarekodi video hiyo akiwa kavaa viatu ivyo-ivyo anavyovilalamikia kuwa vinamuumiza miguu.
Na anadunda navyo vizuri sanaViatu vinam'bana ila mpaka leo kavivaa
Haya maigizo ya Mwakinyo ndio kama yale ya Sirro enzi za utekajiHahaha
Kweli Bongo usimuamini mtumzamini wake ni sportpesa na ili limefanywa makusudi !
Kwa njaa zetu unaweza kukuta kalipiwa viatu tu yeye kachanganyikiwa.Imagine baada ya pambano amejirekodi video analia eti kapewa viatu vinamuumiza sana miguu ila chakushangaza anarekodi video hiyo akiwa kavaa viatu ivyo-ivyo anavyovilalamikia kuwa vinamuumiza miguu.