Swali kwa ndugu zangu Waislam

Swali kwa ndugu zangu Waislam

Wasifu wa huyo yesu wa biblia na qurani ni mbingu na ardhi, huyo katika hivyo vitabu viwili ni watu tofauti kabisa. Character zao ni tofauti kabisa, watu husema hivyo Ili kujenga urafiki basi tu maisha yaende.

Biblia imeandika habari za Yesu kwa kifupi na ndipo changamoto inapo anzia
Ukisoma Biblia utakutana na Yesu akizaliwa na unakuja kukutana naye tena akihubiri.
Sasa waislam wakieleza maisha yake yote lazima yaonekane tofauti na kuwafanya Wakristo wafikiri ni mtu (mtume) tofauti....
 
Sasa utafuata vipi Ukristo bila kumuangalia Yesu?

Yaani Yesu aombe kwa kusimama, kufunga mikono, kuinua mikono juu, kusujudu etc halafu wewe uabudu tofauti nani kakufundisha kuabudu hivyo? Kama unaabudu tofauti na Yesu unamfuata Yesu na Injili ama Mila nyengine ambazo hata huzijui Zilipotoka?

Wakristo wa zamani walikua wakiswali hivi that's a fact, jiulize kwa nini hamswali hivyo tena.

View: https://m.youtube.com/watch?v=HLsSPMRUrjU&pp=ygUaaG93IGVhcmx5IGNocmlzdGlhbiBwcmF5ZWQ%3D

Wakristo wa zamani pia walikua wakivaa Hijabu na kuswali

Sasa jiulize ni Ukristo upo tofauti ama Ni wakristo wameacha mafundisho ya Ukristo na kuamua tu kufuata matamanio ya nafsi zao?

Elimu huna.
 
Biblia imeandika habari za Yesu kama 15% na ndio sababu Wakristo hawamjui Yesu.
Ukisoma Biblia utakutana na Yesu akizaliwa na unakuja kukutana naye tena akihubiri miaka 3 ya mwisho wa maisha yake hapa Duniani na kupaa kwenda mbinguni.

Miaka mingine yooote ya maisha yake zaidi ya miaka 25 Biblia haijui alikuwa wapi na anafanya nini???
Na hii ndio hufanya Waislam wamjue Yesu zaidi kwani wanajua hatua tofauti tofauti za maisha yake na miujiza mbalimbali aliyofanya ndani ya hiyo miaka 25+ na kuwafanya Wakristo wafikiri ni mtu (mtume) tofauti....
Ungeleta maandiko ningekuona wa maana
 
Sasa utafuata vipi Ukristo bila kumuangalia Yesu?

Yaani Yesu aombe kwa kusimama, kufunga mikono, kuinua mikono juu, kusujudu etc halafu wewe uabudu tofauti nani kakufundisha kuabudu hivyo? Kama unaabudu tofauti na Yesu unamfuata Yesu na Injili ama Mila nyengine ambazo hata huzijui Zilipotoka?

Wakristo wa zamani walikua wakiswali hivi that's a fact, jiulize kwa nini hamswali hivyo tena.

View: https://m.youtube.com/watch?v=HLsSPMRUrjU&pp=ygUaaG93IGVhcmx5IGNocmlzdGlhbiBwcmF5ZWQ%3D

Wakristo wa zamani pia walikua wakivaa Hijabu na kuswali

Sasa jiulize ni Ukristo upo tofauti ama Ni wakristo wameacha mafundisho ya Ukristo na kuamua tu kufuata matamanio ya nafsi zao?

Acha maneno leta maandiko
 
Issa bin Mariam alikuwa ni masiha na waislam wanamkubali mno kuwa ndo masih mungu aliyemleta kuwakomboa binadamu.Walivyomsulubu ikapita miaka 570 mungu ndio akamleta mtume Muhamad kuleta neno la mungu.Ninaposema Masihi maana yake zaidi ya nabii hiyo issa alikuwa zaidi ya mtume
Huyu mnayemuita YESU waislam hawamtambui kabisa mnavyodhani nyie huyu amekaa kimagharibi zaidi na hata taswira yake mnavyomuweka kuwa alikuwa mzungu ni makosa makubwa sana sawa na kuabudu sanamu.
Kwenye uslam wanaamini kuwa kuna vitabu vinne
Tourati alileta Mussa
Zaburi alileta Daudi
Injili alileta Issa Bin Mariam
Quran alileta mtume Muhamad

Tatizo nchi za magharibi zimevuruga sana ukristo na ndio maana wayahudi sio wakristo ni wa yuda
 
Maana ya Upanga ni Neno la Mungu

Yesu anasisitiza kwamba kumfuata kunahusisha kujitolea kikamilifu na kuweka uhusiano naye juu ya yote, hata familia. Wale wanaochagua kumpa Yesu nafasi ya kwanza katika maisha yao wanaweza kukabiliana na changamoto, migogoro, au hata kukataliwa na wapendwa wao.

Kifungu hiki kinawataka wafuasi wa Yesu kuonyesha uaminifu wa kweli na kujiandaa kwa gharama yoyote ile ya kumfuata, huku wakijua kwamba thawabu ya milele ni kuu kuliko changamoto za muda mfupi.

Nafikiri umeelewa
Anhaa sawa haina Shida n Ufitini Maana Yake ni nini?
 
Sasa nilete maandiko yapi wakati Biblia yenyewe haitambui kama Yesu alifanya chochote kwa miaka takriban 30?
Labda nikuulize wewe: Nitafutie maandiko kwenye Biblia yanayo onesha mafundisho au chochote Yesu alichofanya akiwa na umri wa kati ya miaka 2 na 25 hivi? na ndio sababu na sema, hamumjui Yesu kwa kuwa kilicho andikwa kwenu ni kama 15% pekee....
Si ungesema tu ungependa kujua badala ya kujifanya unajua wakati hujuwi.

Ukitaka kunua Yesu alikuwa anafanta nini wakati huo soma Mathayo 13:55 na marko 6:3 .
 
Kiongozi, ulisoma Kipa Imara kweli? (Samahani Lakini)
Unajua Mathayo na Marco wameandika vitabu vyao nyakati gani
Hata hivyo Mistari uliyotoa haihusiki kwani hapo Yesu alikuwa na miaka 31 hivi....
Umesoma lakini. Kama umesoma inasemaje?. Na kama majibu unayo ulitaka kujua kuhusu nini?.

Au Swala ni kutaja kujua vitabu viliandikwa lini. Kama ni hilo tuko pamoja kwenye mjadala, niambie unataka nini.

Tulipokuwa tunawaambia nendeni shule achane kukalili Quran haya ndo madhara yale.

Yaani muislam leo anamkosoa mkristo mtu ambae hata Tanzania hii tuliwapa chuo mkatoe ujinga. Kuanza Oxford, Harvard, Yale, MIT, Stanford Nk… tumejaza vijana wenu watoe ujinga uko. Na vyuo vyote hivi vilianzishwa na kanisa au na mkristo, lakini tunawapokea mtoa mjini lakini wapi😁. Mnataka nini lakini
 
Kasome Post namba Nane siwezi kurudia kitu ambacho nimekiandika tena Sio Ni kinyume za Sheria za Jf hata Mimi pia Huwa sipendi kurudia Kitu nilichokiandika tena
Na mimi siwez rudi post namba 4
 
Kwa kweli afadhali waislam wa zamahizo kuliko hawa wa saaa hivi wanaoabudu majini.

Unaazaje kusema kuna story Mudy alifanya hivi?
Sasa wewe niki kuita chizi nitakuwa nimekosea?, hata unacho kuzungumza hukijui
 
Ikiwa Mitume wote walitumwa na Mungu, kwa nini kuna tofauti kubwa kati ya mafundisho ya Yesu (ambaye anatambuliwa katika Uislamu) na Nabii Muhammad?

Yesu katika Uislamu anatambuliwa kama mtume wa Mungu lakini mafundisho yake katika Injili (kama vile upendo kwa adui na msamaha) yanatofautiana na baadhi ya mafundisho ya Muhammad. Je, Mungu anaweza kutuma ujumbe unaopingana kupitia mitume wake?

Andiko la Biblia:
• Mathayo 5:44: “Lakini mimi nawaambia, wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi…”
usichanganye mambo hizi ni dini mbili tofauti na hakika mitume nao ni tofauti kwahiyo usilinganishe hivi vitu msidanganyike hakuna yesu wa wakristo na issa wa uislamu ni watu tofauti kabisa na biblia na hailingani hata kidogo na kutabu hicho kingine msilazimishe mambo ambayo ni tofauti kabisa
 
Hakuna dini Inayohimiza Amani na Upendo kama dini ya uislamu.

Kuanzia mafundisho yake na hata Historia ya Kuenezewa kwake.

Watu watasema Mtume aliisambaza Dini kwa Upanga yaani wanaichukua Historia katikati wanaacha kile kipande cha nyuma namna mipango ya kumuua mtume ilivyosukwa baada ya yeye kutangaza utume.

Namna masuhaba wake walivyoteswa walipokuwa wanaukubali uislamu. Hadi ikafikia hatua ya kuuwawa.

lakini kila walipomwambia mtume kuwa tupigane nao maana wamezidisha vitimbi Mtume aliwataka wawe na subra hadi pale sasa hali ilivyokuja kuwa mbaya zaidi ikiwa hakuna namna ila kupigana.

Sasa mtu ataacha Historia yote hiyo ya nyuma atakuja kudandia hapo kuwa mtume anawaruhusu masuhaba zake wapigane na hao walioanzisha uadui wa wazi wazi.

Kisha watu watakusanya aya zote zilizoshuka wakati Vita imeanza na kusema hayo ndio maisha ya waislamu.

Ili hali Aya zilishuka katika kipindi maalumu ambazo zilitoa maelezo namna ya kupigana vita na adui aliyekusudia kukuangamiza.

Kuna watu bado wanaamini kuwa Mtume alipotangaza utume wake waarabu wenzie walimuamini moja Kwa moja.

Hawajui kuwa hao waarabu walipanga njama nyingi sana za kumuua kwa sababu dini aliyokuja nayo Mtume alikuwa ni Kinyume ni dini zao za kuabudia masanamu.
Acha kudanganya watu
1. Umefunga unabeba mafimbo kuchapa watu wanaokula hadharani? Wewe ukiwa umefunga, mimi nikila wewe inakupunguzia nini?
2. Mahakama za kadhi kwenye dini ya uislamu ni ishara tosha kuwa dini ina watu wenye fujo na vurugu. Hapo hakuna amani wala upendo
3. Ukiacha uislamu ukahamia dini nyingine, adhabu yako ni kifo Hiki ni kikundi cha kichawi.
4. Uislamu unaruhusu kisasi ndiyo maana kwenye nchi za waislamu vita na kuana kwao ni kawaida Libya, Syria n.k ndiyo maana kipindi Hamas wanavamia Israel waislamu wengi walishangilia na kufanya sherehe.
 
Sasa utafuata vipi Ukristo bila kumuangalia Yesu?

Yaani Yesu aombe kwa kusimama, kufunga mikono, kuinua mikono juu, kusujudu etc halafu wewe uabudu tofauti nani kakufundisha kuabudu hivyo? Kama unaabudu tofauti na Yesu unamfuata Yesu na Injili ama Mila nyengine ambazo hata huzijui Zilipotoka?

Wakristo wa zamani walikua wakiswali hivi that's a fact, jiulize kwa nini hamswali hivyo tena.

View: https://m.youtube.com/watch?v=HLsSPMRUrjU&pp=ygUaaG93IGVhcmx5IGNocmlzdGlhbiBwcmF5ZWQ%3D

Wakristo wa zamani pia walikua wakivaa Hijabu na kuswali

Sasa jiulize ni Ukristo upo tofauti ama Ni wakristo wameacha mafundisho ya Ukristo na kuamua tu kufuata matamanio ya nafsi zao?

Kuvaa hijabu ,kanzu,ni mila za mashariki ya kati, ni vazi tu,

Mimi kanisani siku nyingine navaa kanzu maana ni vazi kama suti tu
 
Back
Top Bottom