Swali kwa ndugu zangu Waislam

Wasifu wa huyo yesu wa biblia na qurani ni mbingu na ardhi, huyo katika hivyo vitabu viwili ni watu tofauti kabisa. Character zao ni tofauti kabisa, watu husema hivyo Ili kujenga urafiki basi tu maisha yaende.

Biblia imeandika habari za Yesu kwa kifupi na ndipo changamoto inapo anzia
Ukisoma Biblia utakutana na Yesu akizaliwa na unakuja kukutana naye tena akihubiri.
Sasa waislam wakieleza maisha yake yote lazima yaonekane tofauti na kuwafanya Wakristo wafikiri ni mtu (mtume) tofauti....
 
Elimu huna.
 
Ungeleta maandiko ningekuona wa maana
 
Acha maneno leta maandiko
 
Issa bin Mariam alikuwa ni masiha na waislam wanamkubali mno kuwa ndo masih mungu aliyemleta kuwakomboa binadamu.Walivyomsulubu ikapita miaka 570 mungu ndio akamleta mtume Muhamad kuleta neno la mungu.Ninaposema Masihi maana yake zaidi ya nabii hiyo issa alikuwa zaidi ya mtume
Huyu mnayemuita YESU waislam hawamtambui kabisa mnavyodhani nyie huyu amekaa kimagharibi zaidi na hata taswira yake mnavyomuweka kuwa alikuwa mzungu ni makosa makubwa sana sawa na kuabudu sanamu.
Kwenye uslam wanaamini kuwa kuna vitabu vinne
Tourati alileta Mussa
Zaburi alileta Daudi
Injili alileta Issa Bin Mariam
Quran alileta mtume Muhamad

Tatizo nchi za magharibi zimevuruga sana ukristo na ndio maana wayahudi sio wakristo ni wa yuda
 
Anhaa sawa haina Shida n Ufitini Maana Yake ni nini?
 
Si ungesema tu ungependa kujua badala ya kujifanya unajua wakati hujuwi.

Ukitaka kunua Yesu alikuwa anafanta nini wakati huo soma Mathayo 13:55 na marko 6:3 .
 
Kiongozi, ulisoma Kipa Imara kweli? (Samahani Lakini)
Unajua Mathayo na Marco wameandika vitabu vyao nyakati gani
Hata hivyo Mistari uliyotoa haihusiki kwani hapo Yesu alikuwa na miaka 31 hivi....
Umesoma lakini. Kama umesoma inasemaje?. Na kama majibu unayo ulitaka kujua kuhusu nini?.

Au Swala ni kutaja kujua vitabu viliandikwa lini. Kama ni hilo tuko pamoja kwenye mjadala, niambie unataka nini.

Tulipokuwa tunawaambia nendeni shule achane kukalili Quran haya ndo madhara yale.

Yaani muislam leo anamkosoa mkristo mtu ambae hata Tanzania hii tuliwapa chuo mkatoe ujinga. Kuanza Oxford, Harvard, Yale, MIT, Stanford Nk… tumejaza vijana wenu watoe ujinga uko. Na vyuo vyote hivi vilianzishwa na kanisa au na mkristo, lakini tunawapokea mtoa mjini lakini wapi😁. Mnataka nini lakini
 
Kasome Post namba Nane siwezi kurudia kitu ambacho nimekiandika tena Sio Ni kinyume za Sheria za Jf hata Mimi pia Huwa sipendi kurudia Kitu nilichokiandika tena
Na mimi siwez rudi post namba 4
 
Kwa kweli afadhali waislam wa zamahizo kuliko hawa wa saaa hivi wanaoabudu majini.

Unaazaje kusema kuna story Mudy alifanya hivi?
Sasa wewe niki kuita chizi nitakuwa nimekosea?, hata unacho kuzungumza hukijui
 
usichanganye mambo hizi ni dini mbili tofauti na hakika mitume nao ni tofauti kwahiyo usilinganishe hivi vitu msidanganyike hakuna yesu wa wakristo na issa wa uislamu ni watu tofauti kabisa na biblia na hailingani hata kidogo na kutabu hicho kingine msilazimishe mambo ambayo ni tofauti kabisa
 
Acha kudanganya watu
1. Umefunga unabeba mafimbo kuchapa watu wanaokula hadharani? Wewe ukiwa umefunga, mimi nikila wewe inakupunguzia nini?
2. Mahakama za kadhi kwenye dini ya uislamu ni ishara tosha kuwa dini ina watu wenye fujo na vurugu. Hapo hakuna amani wala upendo
3. Ukiacha uislamu ukahamia dini nyingine, adhabu yako ni kifo Hiki ni kikundi cha kichawi.
4. Uislamu unaruhusu kisasi ndiyo maana kwenye nchi za waislamu vita na kuana kwao ni kawaida Libya, Syria n.k ndiyo maana kipindi Hamas wanavamia Israel waislamu wengi walishangilia na kufanya sherehe.
 
Kuvaa hijabu ,kanzu,ni mila za mashariki ya kati, ni vazi tu,

Mimi kanisani siku nyingine navaa kanzu maana ni vazi kama suti tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…