Quran ipi hiyo imeelezea Yesu kwa marefu?Biblia imeandika habari za Yesu kwa kifupi na ndipo changamoto inapo anzia
Ukisoma Biblia utakutana na Yesu akizaliwa na unakuja kukutana naye tena akihubiri.
Sasa waislam wakieleza maisha yake yote lazima yaonekane tofauti na kuwafanya Wakristo wafikiri ni mtu (mtume) tofauti....
Yaani na wewe hiyo Aya hujui Yesu alimaanisha nini?Anhaa sawa haina Shida n Ufitini Maana Yake ni nini?
Nimedanganya wapi?? Jenga hoja leta na ushaidi.Acha kudanganya watu
Hii hoja ipo kwenye mafundisho ya Uislamu?? Embu nenda kanukuu kifungu ulete hapa1. Umefunga unabeba mafimbo kuchapa watu wanaokula hadharani? Wewe ukiwa umefunga, mimi nikila wewe inakupunguzia nini?
Mahakama ya kadhi ni mahakama gani ina fanyaje kazi Zake na ni kwa kipi ionekane ni ishara ya kukosekana amani na upendo??2. Mahakama za kadhi kwenye dini ya uislamu ni ishara tosha kuwa dini ina watu wenye fujo na vurugu. Hapo hakuna amani wala upendo
Tunaomba Ushahidi juu ya hili.3. Ukiacha uislamu ukahamia dini nyingine, adhabu yako ni kifo Hiki ni kikundi cha kichawi.
Unaonekana wazi kabisa chuki imekujaa hata kujenga hoja unashindwa unabaki kutoa maneno ya vijiweni.4. Uislamu unaruhusu kisasi ndiyo maana kwenye nchi za waislamu vita na kuana kwao ni kawaida Libya, Syria n.k ndiyo maana kipindi Hamas wanavamia Israel waislamu wengi walishangilia na kufanya sherehe.
Ni Mila za Mitume kuvaa kanzu fupi, kama Yesu na wachamungu wengine, watu matajiri na wengineo waliokua wakijiona WALIVAA kanzu ndefu. Keyword kanzu fupi na sio kanzu tu.Kuvaa hijabu ,kanzu,ni mila za mashariki ya kati, ni vazi tu,
Mimi kanisani siku nyingine navaa kanzu maana ni vazi kama suti tu
Hapana Mimi Napenda Kuleta Changamoto mkuu Ili Mzielezee..Yaani na wewe hiyo Aya hujui Yesu alimaanisha nini?
YESU alileta ufitini baina ya ndugu na ndugu pale unapomfata Yeye, muktadha wa hapo tofauti kabisa na WA waislamu ambao wameambiwa waziwazi wawachukie mayahudi na manaswara
Tunaona Petro alipochukua panga ,Yesu alizuia
Najua tu Unapenda kuleta changamoto,ila maelezo ya Yesu yapo wazi, binafsi yalinikuta Hadi Leo upande wa baba hawataki kunisikia sababu Niliukataa uislamu,Hapana Mimi Napenda Kuleta Changamoto mkuu Ili Mzielezee..
Sina maana ya Kuwa Outsmart..
Ok safi sasa Vipi kuhusu Andiko hili alilosema Yesu..
Kwahyo Ukileta Fitina Kati ya Ndugu Unakuwa Umeleta Ukombozi..?
Unahisi Kwanini aliyefundisha Upendo aje tena Afundishe Fitina kwa Ajili yake ...Yaani Anafurahi endapo Ndugu watafitiniana kwa ajili yake?
Ila biblia Hiyo hiyo inafundisha Upendo na amani na watu wote..
Au Umesahau Kuwa Zaburi Inatuonyesha Uzuri wa Ndugu kuea Pamoja?
Zaburi 133:1
" Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae pamoja, kwa umoja."
Sasa Umemsikia Na Yesu alivyosema?
Mathayo 10:34-35..
"34 Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga.
35 Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwe mtu;"
Sasa Unaona Inavyotuchanganya nikiwemo Mimi?
yaani Zaburi inatuonyesha Uzuri wa Ndugu kuwa Pamoja kwa Upendo ila Yesu anatuambia Alikuwa Kufitinisha Baina ya Ndugu..
Na Unazungumziaje Kauli hii Ya Yesu Boss wangu..
Luka 19:26-27..
26 Nawaambia, Kila aliye na kitu atapewa, bali yule asiye na kitu atanyang'anywa hata alicho nacho.
27 Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.
Tatizo ni Paulo.Ikiwa Mitume wote walitumwa na Mungu, kwa nini kuna tofauti kubwa kati ya mafundisho ya Yesu (ambaye anatambuliwa katika Uislamu) na Nabii Muhammad?
Yesu katika Uislamu anatambuliwa kama mtume wa Mungu lakini mafundisho yake katika Injili (kama vile upendo kwa adui na msamaha) yanatofautiana na baadhi ya mafundisho ya Muhammad. Je, Mungu anaweza kutuma ujumbe unaopingana kupitia mitume wake?
Andiko la Biblia:
• Mathayo 5:44: “Lakini mimi nawaambia, wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi…”
VIpi Umeshapatana Nao?Najua tu Unapenda kuleta changamoto,ila maelezo ya Yesu yapo wazi, binafsi yalinikuta Hadi Leo upande wa baba hawataki kunisikia sababu Niliukataa uislamu,
Hiyo ndio fitna yenyewe Yesu aliyoileta
Hivi Unajua ulichokiandika ?Ni Mila za Mitume kuvaa kanzu fupi, kama Yesu na wachamungu wengine, watu matajiri na wengineo waliokua wakijiona WALIVAA kanzu ndefu. Keyword kanzu fupi na sio kanzu tu.
Vipi kuhusu Tabia nyengine za Yesu kama
-kuswali kwa kusujudu
- kula kosher meat (Halal) leo wakristo mnajilia tu nyama ila Waisilamu wanakula nyama sawa na Yesu
-kukataa riba, leo riba imeachwa tu kazi ya waislam, wakristo kimyaa.
Mimi upande wangu Sina shida yoyote ,wao upande wao ndio wanachuki na Mimi kwa nini niliukana uislamu Tena ndani ya MSIKITI,VIpi Umeshapatana Nao?
Kama Hujapatana Nao Kusali kwako Kunakufaaa Nini??
Mathayo 5:23-24
"Basi ukileta sadaka yako madhabahuni, na huku ukikumbuka ya kuwa ndugu yako ana neno juu yako, iache sadaka yako mbele ya madhabahu, uende zako, upatane kwanza na ndugu yako, kisha urudi uitoe sadaka yako."
VIpi Unafuata Mfumo Huo??
NdiyoPaul aliekuwepo kabla ya Mohammad?
Ukitaka kuona uislamu ni dini ya ovyo, kuna video nyingi sana zinazoukosoa ukristo, Yesu wamemkosoa tena hadi kumdhihaki. Zitafute, tena kuna kipindi walianzisha mahubiri kuukosoa ukristo, wakichambua Biblia na kuuliza maswali ya kuudhihaki ukristo. Ila sasa ingekuwa ni kinyume chake Muhamad na Allah wanadhihakiwa, waislamu wangekuja na mapanga, visu, tindikali n.k ili wakuueNimedanganya wapi?? Jenga hoja leta na ushaidi.
Hii hoja ipo kwenye mafundisho ya Uislamu?? Embu nenda kanukuu kifungu ulete hapa
Mahakama ya kadhi ni mahakama gani ina fanyaje kazi Zake na ni kwa kipi ionekane ni ishara ya kukosekana amani na upendo??
Tunaomba Ushahidi juu ya hili.
Unaonekana wazi kabisa chuki imekujaa hata kujenga hoja unashindwa unabaki kutoa maneno ya vijiweni.
Urusi na Ukraine wanauana wale ni waislamu??
Unataka kutuaminisha vita wakipigana waarabu basi ndio uislamu umewafundisha hivyo?? Hii akili ndogo sana.
Israel kila siku anaua watoto wasio na hatia anapiga Civilian targets na humu kuna Watu wanashangilia Ikiwemo na wewe bila shaka. Jee Wale watoto wana makosa gani jee Hamas wameshindikana kupatikana??
NJOO UJENGE HOJA KAMA MTU MZIMA SIO UNALETA MANENO YA MIGAHAWANI.
Issue sio ilikua ni uyahudi ama la, issue ni hamfuati mafundisho yake bali matamanio yenu.Hivi Unajua ulichokiandika ?
YESU alivaa kanzu fupi ,kwa ushahidi upi
Yesu hawezi kuitwa Muislamu kwa sababu ya hizi hoja dhaifu. Kwanza, mavazi kama kanzu hayakuwa alama ya dini fulani bali yalikuwa sehemu ya utamaduni wa Kiyahudi na Waarabu wa kale.
Yesu alivaa mavazi yaliyofanana na utamaduni wa wakati wake, lakini hakuwahi kusisitiza urefu wa mavazi kuwa kipimo cha uchamungu, eti tuvae kanzu fupi🤣🤣
Kuhusu suala la kuswali kwa kusujudu, desturi hii si alama ya Uislamu peke yake.,kwanza Unajua dini nyingi tu zinasujudu?
Yesu alisujudu alipokuwa akisali, jambo lililokuwa la kawaida kwa Wayahudi wa wakati huo (Mathayo 26:39). Hata hivyo, Yesu pia aliwafundisha wanafunzi wake njia nyingine ya kusali, akiwahimiza kutumia sala ya “Baba yetu uliye mbinguni” (Mathayo 6:9). Ukitaka hii hoja ya kusujudu tuingie deep sema tu
Kwa suala la kula nyama Kosher, Yesu alifuata sheria za Torati kwa kuwa alikuwa Myahudi wakuzaliwa na myahudi dini, na Kosher Haina uhusihano wowote na Uislamu ,Kosher Ina Sheria zake Mzee, nyie Hadi ngamia,kambale ,mnabugia ,
Kuhusu riba, kupinga riba kulikuwa sehemu ya sheria za Kiyahudi zilizoelezwa katika Torati ,na hata Leo kwenye Ukristo inatakiwa ifatwe (Kumbukumbu 23:19).
Yesu alifuata mafundisho haya kwa msingi wa Torati, si kwa sababu ya Uislamu Mzee, nimeshasema sana Uislamu ni tofauti na Torati kwa karibu 99%, Aidha, mafundisho ya Yesu yalihimiza kupinga upendo wa kupita kiasi kwa mali na kusisitiza kuweka akiba ya kiroho badala ya vitu vya kidunia (Mathayo 6:19-20).
Kwa ujumla, Yesu hakuwa Muislamu. Mafundisho yake yalilenga uhusiano wa moja kwa moja kati ya mwanadamu na Mungu kupitia Yeye kama Mwokozi wa ulimwengu, jambo ambalo linapingana na mafundisho ya Uislamu yanayomwona Yesu kama nabii tu. Zaidi ya hayo, desturi za Yesu zilikuwa sehemu ya utamaduni na dini ya Kiyahudi, si alama za Uislamu.
Sasa kama yeye ni mtume si angeacha watu wamuuwe kwan hadi apigane naoHakuna dini Inayohimiza Amani na Upendo kama dini ya uislamu.
Kuanzia mafundisho yake na hata Historia ya Kuenezewa kwake.
Watu watasema Mtume aliisambaza Dini kwa Upanga yaani wanaichukua Historia katikati wanaacha kile kipande cha nyuma namna mipango ya kumuua mtume ilivyosukwa baada ya yeye kutangaza utume.
Namna masuhaba wake walivyoteswa walipokuwa wanaukubali uislamu. Hadi ikafikia hatua ya kuuwawa.
lakini kila walipomwambia mtume kuwa tupigane nao maana wamezidisha vitimbi Mtume aliwataka wawe na subra hadi pale sasa hali ilivyokuja kuwa mbaya zaidi ikiwa hakuna namna ila kupigana.
Sasa mtu ataacha Historia yote hiyo ya nyuma atakuja kudandia hapo kuwa mtume anawaruhusu masuhaba zake wapigane na hao walioanzisha uadui wa wazi wazi.
Kisha watu watakusanya aya zote zilizoshuka wakati Vita imeanza na kusema hayo ndio maisha ya waislamu.
Ili hali Aya zilishuka katika kipindi maalumu ambazo zilitoa maelezo namna ya kupigana vita na adui aliyekusudia kukuangamiza.
Kuna watu bado wanaamini kuwa Mtume alipotangaza utume wake waarabu wenzie walimuamini moja Kwa moja.
Hawajui kuwa hao waarabu walipanga njama nyingi sana za kumuua kwa sababu dini aliyokuja nayo Mtume alikuwa ni Kinyume ni dini zao za kuabudia masanamu.
Unayajua mafundisho ya Yesu?Issue sio ilikua ni uyahudi ama la, issue ni hamfuati mafundisho yake bali matamanio yenu.
Leo hii Yesu akishuka watu gani atajiskia amani kukaa nao? Wanaokataa Riba ama ambao wamefanya Riba part ya maisha yao?
Watu wanaojifunika vichwa na kuvaa mavazi ya Stara ama wanaoingia na vimini kanisani?
Majibu unayo ila mpo kwenye Denial, mafundisho mengi ya Yesu hamyafuati mumejijengea utamaduni mwengine kabisa ambao hauhusiani na Yesu, utamaduni wa wazungu.
Siku moja moja angalieni na Makanisa mengine ya East kama Orthodox ambao wapo Against na western churches wana behave vipi.
Hakuna ruhusa kwa muislamu yoyote kumdhihaki mtu mwingine awe muislamu au dini nyingine yoyote na haiwezekani ukawa muislamu bila ya kumuamini na kumkubali Yesu. Huwezi mtu ukaiweka picha ya baba yako akiwa kavaa boxer kwenye status yako ya WhatsApp zembuse ukaweka picha ya kiumbe mtukufu mwenye roho takatifu Yesu akiwa na kavikwa kitambaa cha kumsitiri utupu wake huku amepigiliwa misumari. Hivi ni nani anayedhihaki hapa? Hebu tuwe serious kidogo!Ukitaka kuona uislamu ni dini ya ovyo, kuna video nyingi sana zinazoukosoa ukristo, Yesu wamemkosoa tena hadi kumdhihaki. Zitafute, tena kuna kipindi walianzisha mahubiri kuukosoa ukristo, wakichambua Biblia na kuuliza maswali ya kuudhihaki ukristo. Ila sasa ingekuwa ni kinyume chake Muhamad na Allah wanadhihakiwa, waislamu wangekuja na mapanga, visu, tindikali n.k ili wakuue
Mnaposhinda kwenye vijiwe vya kahawa na kucheza bao unafikiri wote tunaenda mgahawani😁😁😁😁
1. Mkiwa wachache huwa mnajifanya wema sana ila mkiwa wengi kama Zanzibar mnatembea na mafimbo kuchapa watu wanaokula kipindi cha ramadhani😀😀😀
Huku bara idadi yenu ndogo sana ila mnaishi vizuri na mnakula hadharani kipindi cha kwaresma ila huko Zanzibar kipindi cha ramadhani mnatembea na mafimbo kuchapa watu na kukataza watu wasiuze chakula, kupika au kula kwenye migahawa. Huwezi kuona tabia ya kijinga hii kwa wakristo.
2. Mahakama za kadhi zinafanya kazi zipo hata uarabuni ila kwenye nchi ambazo waislamu wachache hazifanyi kazi na wala hazina nguvu kwasababu wakristo wanaamini Mungu ndiyo anahukumu siyo binadamu. Zanzibar zipo tena zinafanya kazi mpk uarabuni huko zinanguvu.
3. Ukiacha uislamu unakatwa kichwa/kunyongwa au kuhukumiwa kifungo cha maisha. Shukuru Mungu upo kwenye nchi ambazo wakristo wengi. Kwa uwepo wa sheria hii huko uarabuni watu wanaogopa kubadili dini km unaamini hilo waruhusu ukristo nchi za kiislamu. Nchi ya kidini ya roman katoliki ni Vatican tu tena yenyewe imekuwa kwasabb ya kuwa kama makao makuu. Urusi, Ukraine siyo nchi za wakristo ila ina idadi ya watu wengi wakristo (roman catholic)
4. Ukimtusi Allah au Muhamad wanakuja na mapanga kukuua ila huu ushenzi na ujinga hautasikia kwa wakristo kwasababu Mungu ndiyo anahukumu na wala hasaidiwi kuhukumu ila waislamu Allah anasaidiwa ndiyo maana kuna mahakama za kadhi. Kuna muarabu mmoja kwenye nchi za kiislamu alihukumiwa kunyongwa mpk kufa kisa amemkosoa Muhamad.
Uislamu kwa picha nje wanautangaza ni mzuri sana ila kwa ndani una matendo ya chuki Mtu amefunga anatembea na mafimbo kuchapa watu, huyo mtu ana akili timamu kweli*😀😀😀😀
Umeaandika maneno matupu hakuna ushahidi.Ukitaka kuona uislamu ni dini ya ovyo, kuna video nyingi sana zinazoukosoa ukristo, Yesu wamemkosoa tena hadi kumdhihaki. Zitafute, tena kuna kipindi walianzisha mahubiri kuukosoa ukristo, wakichambua Biblia na kuuliza maswali ya kuudhihaki ukristo. Ila sasa ingekuwa ni kinyume chake Muhamad na Allah wanadhihakiwa, waislamu wangekuja na mapanga, visu, tindikali n.k ili wakuue
Mnaposhinda kwenye vijiwe vya kahawa na kucheza bao unafikiri wote tunaenda mgahawani😁😁😁😁
1. Mkiwa wachache huwa mnajifanya wema sana ila mkiwa wengi kama Zanzibar mnatembea na mafimbo kuchapa watu wanaokula kipindi cha ramadhani😀😀😀
Huku bara idadi yenu ndogo sana ila mnaishi vizuri na mnakula hadharani kipindi cha kwaresma ila huko Zanzibar kipindi cha ramadhani mnatembea na mafimbo kuchapa watu na kukataza watu wasiuze chakula, kupika au kula kwenye migahawa. Huwezi kuona tabia ya kijinga hii kwa wakristo.
2. Mahakama za kadhi zinafanya kazi zipo hata uarabuni ila kwenye nchi ambazo waislamu wachache hazifanyi kazi na wala hazina nguvu kwasababu wakristo wanaamini Mungu ndiyo anahukumu siyo binadamu. Zanzibar zipo tena zinafanya kazi mpk uarabuni huko zinanguvu.
3. Ukiacha uislamu unakatwa kichwa/kunyongwa au kuhukumiwa kifungo cha maisha. Shukuru Mungu upo kwenye nchi ambazo wakristo wengi. Kwa uwepo wa sheria hii huko uarabuni watu wanaogopa kubadili dini km unaamini hilo waruhusu ukristo nchi za kiislamu. Nchi ya kidini ya roman katoliki ni Vatican tu tena yenyewe imekuwa kwasabb ya kuwa kama makao makuu. Urusi, Ukraine siyo nchi za wakristo ila ina idadi ya watu wengi wakristo (roman catholic)
4. Ukimtusi Allah au Muhamad wanakuja na mapanga kukuua ila huu ushenzi na ujinga hautasikia kwa wakristo kwasababu Mungu ndiyo anahukumu na wala hasaidiwi kuhukumu ila waislamu Allah anasaidiwa ndiyo maana kuna mahakama za kadhi. Kuna muarabu mmoja kwenye nchi za kiislamu alihukumiwa kunyongwa mpk kufa kisa amemkosoa Muhamad.
Uislamu kwa picha nje wanautangaza ni mzuri sana ila kwa ndani una matendo ya chuki Mtu amefunga anatembea na mafimbo kuchapa watu, huyo mtu ana akili timamu kweli*😀😀😀😀
Hoja nyengine zinachekesha kwa kweli.Sasa kama yeye ni mtume si angeacha watu wamuuwe kwan hadi apigane nao