Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila harrier sio SUV mkuu...SUV lazima iwe na body on chasis sio unibody...Body design kwani salon car inapata less resistant kutoka kwenye upepo kuliko SUV,kama zinashea engine lazima SUV itachoma mafuta mengi.
Harrier sio SUV..Moja SUV nyingine saloon, bado tu hujaona utofauti?
Angalia design ya body no tofauti na salon car lakini pia body in frame or unibody haibadilisha classification kwamba Harrier ni SUV. SUV ambazo ni body on frame kwa sasa zimebakia chache sana,land cruiser,Lexus LX kwa Toyota pamoja na G wagon kutoka Benz,wengine wote ni unibody siku hizi.Ila harrier sio SUV mkuu...SUV lazima iwe na body on chasis sio unibody...
Hizo unazoziita chache duniani ndo SUV zenyewe mzee hakuna SUV ya Unibody hizo harrier au vanguard wanaita SUV sababu ya marketing asiku danganye mtu yoyote yule maana ya Sports Utility Vehicle ni uwezo wa gari kuweza kufanya hivyo kupanda milima, makorongo kupita kwenye mito yenye maji mengi etc kitu ambacho Harrier au Vanguard haiwezi fanya hivyo.Angalia design ya body no tofauti na salon car lakini pia body in frame or unibody haibadilisha classification kwamba Harrier ni SUV. SUV ambazo ni body on frame kwa sasa zimebakia chache sana,land cruiser,Lexus LX kwa Toyota pamoja na G wagon kutoka Benz,wengine wote ni unibody siku hizi.
Range Rover,Audi Q7, BMW X5, Mercedes Benz GLC, Jaguar F-pace, Kia telluride, Porsche Cayenne, Lamborghini Urus, VW Touareg land Rover discovery,new 110 hizi zote ni unibody SUV's.Hizo unazoziita chache duniani ndo SUV zenyewe mzee hakuna SUV ya Unibody hizo harrier au vanguard wanaita SUV sababu ya marketing
umejibu kitaalamHarrier ina uzito wa 1,800kg while Mark X ina uzito wa 1,500 kg.. So kuna increment ya kama 300 kg.. Engine ya Harrier inafanya kazi zaidi.
Ni sawa na Pajero Mini ya 660cc inatembea hadi km 15 kwa lita wakati Vitz ya 1000cc inatembea hadi km 20 kwa lita ihali zote zina uzito wa 1000kg.
Hii inasababishwa na factors mbali mbali kama umbo la gari ambalo lina affect wind resistance etc... Pia engine ya Pajero Mini
inaoperate at higher RPM compared na Vitz ili kuzalisha the same amount of Horsepower.
Unatakiwa uelewe magari mengine wanayaita SUV ili yauzike kuwalaghai wasiojua SUV ni nini maana purpose ya SUV - Sports Utility Vehicle ni Off roading, kupanda mawe, kuvuka mito mikubwa, kupanda milima isio rafiki etc angalia picha hizo hapo juu uone kama hayo magari yako yanaweza fanya hizo shughuli au la hizo shughuli ndo purpose ya SUV maana haiwezakani gari iitwe kitu fulani halafu ishindwe kufanya lengo lake halisi..Range Rover,Audi Q7, BMW X5, Mercedes Benz GLC, Jaguar F-pace, Kia telluride, Porsche Cayenne, Lamborghini Urus, VW Touareg land Rover discovery,new 110 hizi zote ni unibody SUV's.
New land Rover defender ni unibody SUV na imeundwa purposely kwa ajili ya offroad driving,new Ford Bronco ni unibody SUV na imeundwa purposely for offroad driving. Unibody na ladder frame chassis cars zina advantages na disadvantages zake kutokana na mapenzi ya mnunuaji au mtumishi wa gari chief.Unatakiwa uelewe magari mengine wanayaita SUV ili yauzike kuwalaghai wasiojua SUV ni nini maana purpose ya SUV - Sports Utility Vehicle ni Off roading, kupanda mawe, kuvuka mito mikubwa, kupanda milima isio rafiki etc angalia picha hizo hapo juu uone kama hayo magari yako yanaweza fanya hizo shughuli au la hizo shughuli ndo purpose ya SUV maana haiwezakani gari iitwe kitu fulani halafu ishindwe kufanya lengo lake halisi..
Nilidhani unaelewa unachokisema hivi kweli kwa akili zako New Land Rover Defender unaweza iweka kwenye Off Roading SUV? Au hio Ford Bronco hizo wanazi classify hivyo ili waweze kuuza true off roading Land Rover ni Defender 110 na 90 series..New land Rover defender ni unibody SUV na imeundwa purposely kwa ajili ya offroad driving,new Ford Bronco ni unibody SUV na imeundwa purposely for offroad driving. Unibody na ladder frame chassis cars zina advantages na disadvantages zake kutokana na mapenzi ya mnunuaji au mtumishi wa gari chief.
Ok chief naona kwenye magari Sisi ni kama waumini wa dini tofauti.Nilidhani unaelewa unachokisema hivi kweli kwa akili zako New Land Rover Defender unaweza iweka kwenye Off Roading SUV? Au hio Ford Bronco hizo wanazi classify hivyo ili waweze kuuza true off roading Land Rover ni Defender 110 na 90 series..
We unaonekana magari umeyajulia ukubwani afu mshamba fulani hivi.
Ingekua utumiani wa mafuta sio ishu mbona MABEBERU kila siku wanaumiza kichwa watengeneze magari yenye low fuel cosumption??? Au na wao hawana uwezo wa kununua mafuta?
Tatizo upeo.
Kwa nyakati tofauti nimepata kuendesha hizi gari mbili. Harrier na MarkX. Harrier nnayoizungumzia hapa ni tako la nyani yenye engine ya 2AZ na CC 2400. Na mark X nnayoizungumzia hapa ni 250G yenye engine yenye code GRX. Kilichonileta hapa niulaji wa mafuta wa hizi engine mbili.
Kitaka uchunguzi wangu kupitia uendeshaji wa magari haya, nimeona harrier yeny 2AZ inakula mafuta sana kulinganisha na MarkX yenye GRX ilhali mark X ni ina CC kubwa kuliko Harrier. Mark x iliweza kunipa range mpka ya 8Km per liter kwa town trips huku harrier best range niliyopata ni 6.5 km per liter.
Wataalamu nini kinasababisha hili, ukizingatia GRX ni V6 yenye 6 Cylinder huku 2AZ ni VVTi yenye 4 cylinders. Perfomance ya 2AZ pia niliinote kwenye Vanguard na Rav4 na mwote range ni hiyohiyo.
Mkuu una mawazo ya watu wa kale.. Vita ya pili ya dunia huko.. SUV zipo za aina 4Unatakiwa uelewe magari mengine wanayaita SUV ili yauzike kuwalaghai wasiojua SUV ni nini maana purpose ya SUV - Sports Utility Vehicle ni Off roading, kupanda mawe, kuvuka mito mikubwa, kupanda milima isio rafiki etc angalia picha hizo hapo juu uone kama hayo magari yako yanaweza fanya hizo shughuli au la hizo shughuli ndo purpose ya SUV maana haiwezakani gari iitwe kitu fulani halafu ishindwe kufanya lengo lake halisi..
PointPengine ni uzito wa gari husika alafu pia Mark X inatumia umeme mwingi kuliko harrier