Swali: kwa nini Harrier, Vanguard ( 2AZ engine ) 2400 cc zinakula mafuta kuliko Mark X ( GRX engine ) 2500 cc?

Body design kwani salon car inapata less resistant kutoka kwenye upepo kuliko SUV,kama zinashea engine lazima SUV itachoma mafuta mengi.
 
Hapo kitu kingine cha ku note ni engine oil gani iliotumika fuel filter? Maana engine oil iliozoeleka ni 20w50 wakati unakuta engine husika wamekwambia uweke 5w30,10w30 au 10w40 embu mleta mada tuambie hayo magari yote yana engine oil gani?
 
Ila harrier sio SUV mkuu...SUV lazima iwe na body on chasis sio unibody...
Angalia design ya body no tofauti na salon car lakini pia body in frame or unibody haibadilisha classification kwamba Harrier ni SUV. SUV ambazo ni body on frame kwa sasa zimebakia chache sana,land cruiser,Lexus LX kwa Toyota pamoja na G wagon kutoka Benz,wengine wote ni unibody siku hizi.
 
Hizo unazoziita chache duniani ndo SUV zenyewe mzee hakuna SUV ya Unibody hizo harrier au vanguard wanaita SUV sababu ya marketing asiku danganye mtu yoyote yule maana ya Sports Utility Vehicle ni uwezo wa gari kuweza kufanya hivyo kupanda milima, makorongo kupita kwenye mito yenye maji mengi etc kitu ambacho Harrier au Vanguard haiwezi fanya hivyo.

 
Hizo unazoziita chache duniani ndo SUV zenyewe mzee hakuna SUV ya Unibody hizo harrier au vanguard wanaita SUV sababu ya marketing
Range Rover,Audi Q7, BMW X5, Mercedes Benz GLC, Jaguar F-pace, Kia telluride, Porsche Cayenne, Lamborghini Urus, VW Touareg land Rover discovery,new 110 hizi zote ni unibody SUV's.
 
umejibu kitaalam
 
Range Rover,Audi Q7, BMW X5, Mercedes Benz GLC, Jaguar F-pace, Kia telluride, Porsche Cayenne, Lamborghini Urus, VW Touareg land Rover discovery,new 110 hizi zote ni unibody SUV's.
Unatakiwa uelewe magari mengine wanayaita SUV ili yauzike kuwalaghai wasiojua SUV ni nini maana purpose ya SUV - Sports Utility Vehicle ni Off roading, kupanda mawe, kuvuka mito mikubwa, kupanda milima isio rafiki etc angalia picha hizo hapo juu uone kama hayo magari yako yanaweza fanya hizo shughuli au la hizo shughuli ndo purpose ya SUV maana haiwezakani gari iitwe kitu fulani halafu ishindwe kufanya lengo lake halisi..
 
New land Rover defender ni unibody SUV na imeundwa purposely kwa ajili ya offroad driving,new Ford Bronco ni unibody SUV na imeundwa purposely for offroad driving. Unibody na ladder frame chassis cars zina advantages na disadvantages zake kutokana na mapenzi ya mnunuaji au mtumishi wa gari chief.
 
Nilidhani unaelewa unachokisema hivi kweli kwa akili zako New Land Rover Defender unaweza iweka kwenye Off Roading SUV? Au hio Ford Bronco hizo wanazi classify hivyo ili waweze kuuza true off roading Land Rover ni Defender 110 na 90 series..
 
Nilidhani unaelewa unachokisema hivi kweli kwa akili zako New Land Rover Defender unaweza iweka kwenye Off Roading SUV? Au hio Ford Bronco hizo wanazi classify hivyo ili waweze kuuza true off roading Land Rover ni Defender 110 na 90 series..
Ok chief naona kwenye magari Sisi ni kama waumini wa dini tofauti.
 

Pia factor nyingine inayofanya magari yale sana mafuta ni oil iliyowekwa maana tz magari mengi yanatumia oil isiyo sahihi
 
Mkuu una mawazo ya watu wa kale.. Vita ya pili ya dunia huko.. SUV zipo za aina 4
Compact
Crossover
Midsize
Full size.
Sasa naona unakomaa wanaita SUV ili wauze [emoji28][emoji28][emoji28]. Ni wewe tu dunia nzima unajua kuliko hata watengenezaji.
Wabongo bana.
 
Pia harrier ni full time four wheel drive while hiyo nyingine ni 2wd.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…