tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,315
Kwamba! Wadada wengi wana mapengo huko kwenu?!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]hehehehe... Hyo naona itakua fashion coz huku kwetu wadada ndo zao
weng wao wanayo ila ka yale ya wolperKwamba! Wadada wengi wana mapengo huko kwenu?!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ya zamani yalieleweka?halafu mapengo ya siku hizi hata hayaeleweki.
Huduma za afya ni duni nchini, kwa kawaida binadamu anatakiwa kumuona dentist Mara mbili kwa mwaka kwaajili ya check up. Huduma hii Mara nyingi ni ya kulipia sasa kama Huna hela ya pango itakuwa na pesa ya dentist's check-up?
Ndo magego kwa kimtaaani?
Mahindi aka bisi za kienyeji ( ngumu).Halijaota, mm sijawahi ng'oa meno ya huku mwisho hata hili lilisagika nikiwa nakula mahindi
Na usafi wa kinywa pia.Huduma za afya ni duni nchini, kwa kawaida binadamu anatakiwa kumuona dentist Mara mbili kwa mwaka kwaajili ya check up. Huduma hii Mara nyingi ni ya kulipia sasa kama Huna hela ya pango utakuwa na pesa ya dentist's check-up?
We acha tuMahindi aka bisi za kienyeji ( ngumu).
Chumvi chumvi. Na njugu mawe.We acha tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Chumvi chumvi. Na njugu mawe.