Swali: Kwa nini watu wengi siku hizi wana mapengo?

Swali: Kwa nini watu wengi siku hizi wana mapengo?

Huduma za afya ni duni nchini, kwa kawaida binadamu anatakiwa kumuona dentist Mara mbili kwa mwaka kwaajili ya check up. Huduma hii Mara nyingi ni ya kulipia sasa kama Huna hela ya pango utakuwa na pesa ya dentist's check-up?
 
Huduma za afya ni duni nchini, kwa kawaida binadamu anatakiwa kumuona dentist Mara mbili kwa mwaka kwaajili ya check up. Huduma hii Mara nyingi ni ya kulipia sasa kama Huna hela ya pango itakuwa na pesa ya dentist's check-up?

Na kwa kweli maana ata wengine tunanunua dawa kisa tumeona tangazo kwenye tv. Nilishapewa somo kuhusu dawa za meno na dentist nilishangaa kumbe kuna za kemikali, mitishamba, dawa na n.k

Kumbe kuna ulazima w kuwatembelea ma dentist
 
Huduma za afya ni duni nchini, kwa kawaida binadamu anatakiwa kumuona dentist Mara mbili kwa mwaka kwaajili ya check up. Huduma hii Mara nyingi ni ya kulipia sasa kama Huna hela ya pango utakuwa na pesa ya dentist's check-up?
Na usafi wa kinywa pia.
Ulaji kupitiliza wa chocklates hasa ucku na kulala bila kuswaki. Bacteria wanapenda sugary.
Utumiaji wa vitu baridi ( ice creams)
Chain smokers ( fegi)
Walevi ( gongo, viroba, matap tap)
Walaji wa supu ya mbuzi ( kichwa makongoro)
 
Pengo ndo linalo muweka Joti mjini.....[emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom