Swali kwa Viongozi/Wanasiasa Wetu: Kama Waliuona Udhalimu wa Awamu Iliyopita, na Wakaunyamazia, Is it Right Kuusema Sasa au Waendelee Kunyamaza?.

Pascal tumia akili kama msomi. Ulitaka waseme wauawe, wapotezwe, wabambikiwe kesi za uongo? Tumia akili!

Nipe thread yako yoyote uliyomkosoa Magufuli Kwa ukali na kumpa ukweli kama Ben saanane alivyofanya kuhusu PhD ya mchongo.
Nawe ulikaa kimya na uliposema ulisifia kupata uteuzi
 
Hicho kichaka cha Magu mnachokitumia kuficha uozo kinaendelea kukauka mda si mrefu mtakosa la kuongea then ndipo mtampa heshima yake Magu.
Si nafuu utawala huu CAG anasoma ripoti na uwizi tunausikia. Magufuli alipoambiwa Tsh 1.5 Trillion hazijulikani matumizi yake alimfukuza kazi Prof Assad.

Tumpongeze Samia kwa kupokea ripoti ya CAG inayoonyesha udhaifu wa Serikali yake.
 
Si nafuu utawala huu CAG anasoma ripoti na uwizi tunausikia. Magufuli alipoambiwa Tsh 1.5 Trillion hazijulikani matumizi yake alimfukuza kazi Prof Assad.

Tumpongeze Samia kwa kupokea ripoti ya CAG inayoonyesha udhaifu wa Serikali yake.
Ulishamsikia Assad akitamka kuna upotevu wa 1.5tr,kama kuna clip ipo nitumie?

Je kwenye report ipo hiyo hebu refer page no mimi nikarudie kuisoma upya,labda niliruka sehemu ya 1.5tr?

Tatizo lenu mnapendwa kusimuliwa na kushika maneno ya wanasiasa.

Narudia tena kichaka mlicho zoea kukisingizia kwa mistakes za awamu hii kina endelea kukauka na hamna pakijificha.
 
Kulikuwa na udhalimu gani? Maana ukisema udhalimu, je wewe ukuwahi kuandika au kukosoa kipindi hicho?

Na huyo anayemuita dhalimu alikuwa akujua? Na alikufanya chochote kibaya?

Tusipende kuongeza chumvi kama alikuwa kiongozi katili na hafai
 
Nakoleza tuu, na hilo la kuwa na unafuu wa "kupokea" akiwa anamaana Hayati hakupokea ripoti hiyo, ni upotoshaji.
Wanaumbuka na hakuna pakujificha.

Tunajua alipokea ripoti hiyo Ikulu na kufuata mchakato mzima wa kuupokea na mengine na hata kupelekwa Bungeni kama inavyotakikana. Uhalisia ni Ripoti ilipokelewa na kufanyiwa kazi-na kama ripoti ilikuwa na mapungufu, inawezekana kabisa assad naye alikuwa mmoja wa mapungufu hayo!
 
Maana yake ni hivi!, kama wote wanakili awamu ya tano ilikuwa dhalimu nk basi majority kama sio wote hawakupaswa leo hii kuwa ofisini bali walipaswa kuwa jela maana walikuwa sehemu ya udhalimu huo.

Huwezi kusema sikukubaliana na bosi wangu aliyekufa ila niliamua kukaa kimya siku ziende halafu eti bado mtu huyu yuko ofisini, huwezi kushika mic na kuongea public eti kiongozi yule hakuwa sahihi na wewe ukiwa sehemu ya serikali yake kwa miaka yote halafu eti na leo uko ofisini.

Shida iko kwetu wananchi, wengi wetu ni mashabiki na machawa wa wanasiasa hatuko serious na mwenendo wa Taifa letu na kuchukua responsiblities kama watu wenue uchungu na vizazi vyetu..
 
Ndiyo maana ya kuwawakilisha wananchi kwa hali na mali haijalishi kuna nn..
Rip ben watch 8 (kama ni kwel ulisha restishwa eny😭😭), pole sana mtoto mtundu lisuh, pole sana mzee maropu na mzee kinainah, pole sana kijana wa nnauye kwa kutaka kubastolishwa hadharan, polen waokotwa virobani bichi, pole na wengine wengi, poleni poleni poleni.....
 
Pa
Pasco wa JF ulitaka ben watch 8 wawe wangap ndo uridhike Mkulu?
 
Ukitaka wauseme wauawe? The answer is very simple!
Mkuu Retired, huyu ni wewe, leo imekuweje? Prof. Anna Tibaijuka, ulikaa kimya wakati unahudumu katika Serikali kandamizi ya hiki unachokikemea sasa kulinda maslahi yako, na sasa kaa kimya! ila naunga mkono hoja yako.
P
 
Ni mimi kabisa, but My point is: kama kweli unautetea msimamo wa demokrasia/haki kama alivyojinadi,( na kweli alichokisema kiko sahihi kabisa) , basi jitenge nao! Ukikaa nao watesaji/wauaji tutakusema kuwa wewe pamoja na kuwa unaiona haki, lakini wewe si mfia haki! Ukiwa Upinzani, unaweza kuangalia hali ikoje, maana lengo ni to prerserve life if needed to be so and therefore sometimes you decide to take other cause to save life!! Ikishindikana then , unasema liwalo na liwe kama walivyoapa maandamano ya 23/9!
 
Ukitaka wauseme wauawe? The answer is very simple!
Pascal Mayalla , nimekuvuliakofia kwa kutunza kumbukumbu. You are very smart!
Nakumbuka andiko hilo, lakini unaangalia unasema lini! Diplomacy ikishidikana kama sami alivyokataa maridiano, then you decide liwalo na liwe! LAKINI SIYO KUKAA NDANI YA WAOVU KWA VILE UNA MANUFAA NA MAOVU, WAKIKUTEMA NDIYO UNAKUJA KUSEMA. HATUTAKUKUBALI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…