Swali kwa Viongozi/Wanasiasa Wetu: Kama Waliuona Udhalimu wa Awamu Iliyopita, na Wakaunyamazia, Is it Right Kuusema Sasa au Waendelee Kunyamaza?.

Bandiko hili bado linasadifu, wakati huu madudu ya ajabu ya awamu iliyopita yamefukunyuliwa na kitabu cha EK, nawaomba nyie viongozi mliokuwepo, mkayaona, mkanyamaza, hamkukemea, saa hizi yanafukunyuka, endeleleeni kunyamaza EK ni one among the best IJ journalist wa Tanzania, hicho kitabu chake ni IJ piece!.
P
 
P bado tunatarajia kusikia voice from within kwa maslahi ya taifa na Wanataifa.
 
Ulikuwa hujui haya ulipoandika kuhusu makala yako Kabendera article in Economist iliyomfanya apate misukosuko yote ile kutoka kwa serikali.

Wewe si ndio chanzo yeye kugundulika anaiponda na kupotosha ukweli wakati ule.

Unaitendee vyema cover yako kuuma na kupuliza.
 
Kama kawaida yako unacheza pande zote mbili. Najua upo kazini. Kongole.
 
Yote yalioandikwa humo kwenye kitabu unayaamini ni ukweli 100% ?
 

Baada ya Mwamba Dr. KABENDERA. kumwaga UPUPU na Askofu Mwamakula kusubstantiate aliyoandika ni time na wewe kutupa hint yaliyojili ulipoitwa kwenye Kamati ya Ndugai .... maana ulirudi umepoa sana.
 
Sawa Mkuu. Kwa jinsi ulivyoyoka kwenye Kamati ya Ndugai umelowa. Kimya tayari ni jibu tosha.
Umri ukisonga songa busara zinaongezeka,ukifumaniwa pants down,usikurupuke kutafuta nguo kutaka kuvaa fasta,unachutama unatulia!。 Kwenye ile kuitana Dodoma kwa mikwala, kule kamati kuna mtu amechutama,kistaarabu na wewe unanyamaza as if nothing happened,ila ujinga kama ule haukuwahi kurudiwa tena!。
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…