Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Wana jukwaa jumapili njema

Swali langu kwa wadada na wataalam wengine wa mambo ya mahusiano,wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada tofauti na wanaume wengine?

Nimepata kuwauliza wadada wengi,ambao nimekutana nao maeneo tofauti wangependa waolewe au wawe na mahusiano na wanaume wa aina gani,wengi na karibu sehem kubwa hujibu kua wanapenda wanaume warefu ,weusi.

Mi naomba kujua wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada hadi wapendelewe hivyo?

Karibuni sana.
 
Nilikuwa sijui kwamba huwa mnani-mind kiasi hicho! Ngoja sasa nianze kufungulia dog

Sasa umesikia bro, hapo piga na gym kidoogo ili uutawanye mwili vizuri!! Ukipiga t-shirt inakubali na ukitoka kiofisi ndo umeua!!

Hutaongea nao mara mbili, we unashika mkono tu unapeleka machinjioni hata kabla hujauliza jina hahahaaa!!

Usijeukawa hivyo ukafanya kwenye ofisi uwe kitengo cha customer care unaongea na wateja direct!! Utashangaa wanakupoint kabisa uwahudumie wewe!!
 
Back
Top Bottom