PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
HeKumbe ndio maana kuna siku wadada wawili toka meza mbili tofauti walininunulia kinywaji kwa wakati mmoja! Nimeshajua sababu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HeKumbe ndio maana kuna siku wadada wawili toka meza mbili tofauti walininunulia kinywaji kwa wakati mmoja! Nimeshajua sababu!
DuuhNa ni ugonjwa hasaaaaaaa. Manake hadi concentration huwa inapotea. Soooo yummy I could eat 'em whole!! Halafu asiwe kimbao kimbao.
HahahaSasa umesikia bro, hapo piga na gym kidoogo ili uutawanye mwili vizuri!! Ukipiga t-shirt inakubali na ukitoka kiofisi ndo umeua!!
Hutaongea nao mara mbili, we unashika mkono tu unapeleka machinjioni hata kabla hujauliza jina hahahaaa!!
Usijeukawa hivyo ukafanya kwenye ofisi uwe kitengo cha customer care unaongea na wateja direct!! Utashangaa wanakupoint kabisa uwahudumie wewe!!
Then what happened!?I used to like tall men
NaamSijutii my sex match huwa anafeel protected huwa analinga huwa hahitaji mwengine a tall, giant and wise man cares, listen, humble and so romantic oooooh my God. When I hug her I can see what she really feel. She always miss my hug. Am so proudy of my uaridi ni bomper hata mimi huwa najihofia maake lile sio wowoooooo ka out ka dinner tu unakodoa as if mmasai analinda usiku haaaa haa haaa jamani ukiwa na pesa ya kubadilisha viji eneo na kumpa kidogo akijipododo basi unaonekana dumeeee.ukijumlisha na height oooopsss Mungu ahsante kwa kuniumba hivi ahsante baba kwa kunipa mwanamke anayenifanya nisitamani radha na harufu ya mchepuko
DuuhMwanaume mrefu raha afu awe na kifua cha kispot,ooh OMG,my love 2takula mapenzi hata ka' huna pesa....
Hiyo research yako imekudanganya , labda sio east Africa. Hao wadada wanao jichubuwa ndio wapende dark skini? Indgekuwa hivyo watu wasinge jichubuwa.Wana jukwaa jumapili njema
Swali langu kwa wadada na wataalam wengine wa mambo ya mahusiano,wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada tofauti na wanaume wengine?
Nimepata kuwauliza wadada wengi,ambao nimekutana nao maeneo tofauti wangependa waolewe au wawe na mahusiano na wanaume wa aina gani,wengi na karibu sehem kubwa hujibu kua wanapenda wanaume warefu ,weusi.
Mi naomba kujua wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada hadi wapendelewe hivyo?
Karibuni sana.
Acha shobo. We babu 😂😂Nzuri tu kipenzi.