Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Sasa umesikia bro, hapo piga na gym kidoogo ili uutawanye mwili vizuri!! Ukipiga t-shirt inakubali na ukitoka kiofisi ndo umeua!!

Hutaongea nao mara mbili, we unashika mkono tu unapeleka machinjioni hata kabla hujauliza jina hahahaaa!!

Usijeukawa hivyo ukafanya kwenye ofisi uwe kitengo cha customer care unaongea na wateja direct!! Utashangaa wanakupoint kabisa uwahudumie wewe!!
Hahaha
 
Sijutii my sex match huwa anafeel protected huwa analinga huwa hahitaji mwengine a tall, giant and wise man cares, listen, humble and so romantic oooooh my God. When I hug her I can see what she really feel. She always miss my hug. Am so proudy of my uaridi ni bomper hata mimi huwa najihofia maake lile sio wowoooooo ka out ka dinner tu unakodoa as if mmasai analinda usiku haaaa haa haaa jamani ukiwa na pesa ya kubadilisha viji eneo na kumpa kidogo akijipododo basi unaonekana dumeeee.ukijumlisha na height oooopsss Mungu ahsante kwa kuniumba hivi ahsante baba kwa kunipa mwanamke anayenifanya nisitamani radha na harufu ya mchepuko
Naam
 
Wana jukwaa jumapili njema

Swali langu kwa wadada na wataalam wengine wa mambo ya mahusiano,wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada tofauti na wanaume wengine?

Nimepata kuwauliza wadada wengi,ambao nimekutana nao maeneo tofauti wangependa waolewe au wawe na mahusiano na wanaume wa aina gani,wengi na karibu sehem kubwa hujibu kua wanapenda wanaume warefu ,weusi.

Mi naomba kujua wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada hadi wapendelewe hivyo?

Karibuni sana.
Hiyo research yako imekudanganya , labda sio east Africa. Hao wadada wanao jichubuwa ndio wapende dark skini? Indgekuwa hivyo watu wasinge jichubuwa.
 
Back
Top Bottom