Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Hapo we mwanaume ndo mrefu na mweusi, unakuta vidada vyeusi na vifupi vina kung'ang'ania kama nini, shit, i just use and dump them.

Mungu anisamehe sijui kuumba,,M/Mke kifup na keusi khaa yaan huyo ni kibushuti haswaa sema kwenye majambozi nasikia ni watundu balaa hawapendi kuonekana weakness yao. Ndio maana Mikorogo imepanda bei.
 
When a man speaks of using and dumping a woman does he think of his sisters who might have gone through the same thing? Honey Karma is vast...... it will come back to you in one way or another.
 
Tall and Dark? Oh la laaaaaaaa.

Lazima niseme ssssss aaaaaaa.

Damn!
Teheeee tena ukute kifua kimepanuka na ametililia kauzi ka mbaaaali na hajavaa shati... mie ni kwenda kujipumzisha kifuani tu huku nigugumia rohoni mamma miiiiaaaa.. ..! Hii kitu weka mbali na watoto!
 
Mungu anisamehe sijui kuumba,,M/Mke kifup na keusi khaa yaan huyo ni kibushuti haswaa sema kwenye majambozi nasikia ni watundu balaa hawapendi kuonekana weakness yao. Ndio maana Mikorogo imepanda bei.

Wanajituma hamna mfano, usipo angalia una naswa.
 
When a man speaks of using and dumping a woman does he think of his sisters who might have gone through the same thing? Honey Karma is vast...... it will come back to you in one way or another.

Always we think of positive, men who have sisters, nadhani unawajua walivyo wakali.
 
Teheeee tena ukute kifua kimepanuka na ametililia kauzi ka mbaaaali na hajavaa shati... mie ni kwenda kujipumzisha kifuani tu huku nigugumia rohoni mamma miiiiaaaa.. ..! Hii kitu weka mbali na watoto!
Ninavyopenda kudeka sasa? Sibanduki mikononi ng'oooooo.

Na baridi hii na mvua send one my way please.

lol.
 
No, what I mean is I like a man who is a little mysterious. Not someone I know everything about within the blink of an eye. Its not about having an open mind.

What I also meant is that mystery is actually in women's mind but not in men's, and that's what makes men apparently appear to women as mysterious! Uless if you do not conquer with this opinion (simple truth?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…