Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Mungu aliumba warefu, wafupi , wembamba na wanene hiyo sampuli yake hivyo wote wanapendeza na wako flesh sijui kwenye hivyo vibamia ndo kukoje hapo.
 
What I also meant is that mystery is actually in women's mind but not in men's, and that's what makes men apparently appear to women as mysterious! Uless if you do not conquer with this opinion (simple truth?)

Oh okay. I now get your point.
 

papuchi isiyoeleweka ndo iliyokuleta duniani. ha ha haaa!
 
Hapa kuna tender ya kutu supply na tall and dark men.

If you are one of them join in the queue, tuna kazi na nyie!

oooh..unfortunately I am not one of them, and you KNOW it....:mvutaji::mvutaji:🙁:A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee:
 
subiri kwanza, wewe ni mrefu mweusi? kama sio mweusi basi maji ya kunde? kama ndio ntafte ASAP.

mmm....sipo kote huko na kama ndo ivo imekula kwangu...kwani huo urefu na weusi sijui maji ya kunde mwaufanyiani?

CC Karucee?
 
Last edited by a moderator:
haya..... Husninyo, Cyan6, Karucee, Heaven on Earth, Ennie, OLESAIDIMU....hebu mnambie hapa kuna diskasheni gani na kama nafit kuwepo kwenye mjadala.....kama sio, niende zangu kwenye magari.:juggle:

Kaka Kaizer hapa tunadiskasiwa wanaume kwa mujibu wa baadhi ya wadada wanadai wanaume warefu na weusi/maji ya kunde ni magnet !!!!!!

Sasa kwa sababu mimi na wewe kaka hatujawahi kuwa wao basi tusikilize weee then tuchanganye na zetu!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
papuchi isiyoeleweka ndo iliyokuleta duniani. ha ha haaa!

Ni kweli japo ukweli unabaki pale pale kuwa haieleweki jaman. Sie viandunje wala hatuna presha,kuna wenzetu pia tunafit profile zao!
 
Kaka Kaizer hapa tunadiskasiwa wanaume kwa mujibu wa baadhi ya wadada wanadai wanaume warefu na weusi/maji ya kunde ni magnet !!!!!!

Sasa kwa sababu mimi na wewe kaka hatujawahi kuwa wao basi tusikilize weee then tuchanganye na zetu!!!!!!

Okay siku izi hawaagalii suala la pochi?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…