Swali kwa wadada

Charliemic

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
602
Reaction score
969
Hv ni kwanini nyie kila siku huwa hamna nauli!?

Hela zenu mnapeleka wapi!?? Kila siku mnataka mtumiwe nauli, khaa! Mtu yupo Ubungo anataka atumiwe nauli ndio aje Kimara mwisho.

Na ya kutolea
 
Mwambie atumie yake, akija mrudishie !!!

Next time date mtu anaejielewa, huwezi ombwa sh 400, hata kama Hana atafanya means yoyote ile !!!! Mnawaokota wapi watu wa dizaini hiii ? Huyu si mkiwa lodge ukienda wash room si anakusachi ?

Au ukiona hivo kuna shida, aidha humpi huduma stahiki , hapa ndo mnapochapiwa!! Kama unampenda gal wako, kumpa huduma na matumizi madogo madogo ni jukumu lako !!
 
Ngoja niwajibie.

Wanaume wa siku hizi hamuaminiki . Unaweza kumuuta mdada wawatu akachoma nauli yake na muda juu anaupoteza kuja kwako mwishowe matokeo yana kuwa tofauti na matarajio. Bora kugawana hasara utume hela akija akikuta yofauti sio mbaya asipokuja imekula kwako. Ishi. Na ke kwa akili. Kama vipi mfuate wewe.
 
Sasa mzee unataka kujaa kumkojoza mtoto wa mtu bure buree Tena atumie na nauli take.embu kuwa serious banaa
 
anaewalipa wapigangoma si ndie mchagua wimbo sio??!!
 
Hv ni kwanini nyie kila siku huwa hamna nauli!?

Hela zenu mnapeleka wapi!?? Kila siku mnataka mtumiwe nauli, khaa! Mtu yupo Ubungo anataka atumiwe nauli ndio aje Kimara mwisho.

Na ya kutolea
Niliwahi kutuma nauli, ya kutolea na hakutokea. Nilipomfuata geto, nikamkuta analiwa na msela.

Kumbe msela wake alihitaji hela ya sigara.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…