TEMBO KICHAKA
Senior Member
- Aug 3, 2014
- 137
- 89
Sio bei ya magari tu kuwa juu hapa Tanzania kuliko nchi jirani hata bei ya Diezel na Petrol iko juu sana Tanzania kuliko nchi jirani wakati mafuta hayo yanashushwa Bandari ya Dar na kupelekwa nchi jirani. Tukubali tu, Tanzania ni nchi ya kinyonyaji.
nashindwa kuelewa ni kwa nini bei ya magari hapa nchini iko juu zaidi kuliko ya nchi jirani ya zambia ambayo hupitisha na kuchukua magari yake kweye bandari yetu ya dar es salaam.....? naomba mwenye kulielewa hili anijurishe.
Inategemea na sera ya nchi husika,,,mfano kule kuna uwezekano kodi ikawa ndogo zaidi ktk nishati ya mafuta au gari!!
Sent from my iPad Air using JamiiForums
Sio bei ya magari tu kuwa juu hapa Tanzania kuliko nchi jirani hata bei ya Diezel na Petrol iko juu sana Tanzania kuliko nchi jirani wakati mafuta hayo yanashushwa Bandari ya Dar na kupelekwa nchi jirani. Tukubali tu, Tanzania ni nchi ya kinyonyaji.[/QUOTE
duu kweli kabisa mkuu, kwa gharama hizi tz ni nchi ya kinyonyaji