TEMBO KICHAKA
Senior Member
- Aug 3, 2014
- 137
- 89
Nashindwa kuelewa ni kwa nini bei ya magari hapa nchini iko juu zaidi kuliko ya nchi jirani ya Zambia ambayo hupitisha na kuchukua magari yake kweye bandari yetu ya Dar es salaam. Naomba mwenye kulielewa hili anijulishe.