Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,351
- 9,838
Sheria inasemaje kama yafuatayo yakitokea?
1. Rais akichanganyikiwa au akiugua kichaa akiwa madarakani.
* je, maagizo yenye utata yataendelea kusimama kama maagizo halali ya rais?
* Nani anawajibika kusema kama akili ya rais haiko sawa?
* Hatua gani zinapitiwa mpaka kutangaza kama rais hawezi tena kuendelea kukitumikia cheo cha urais?
2. Rais akitekeleza majukumu yake kwa kiwango dhaifu sana.
* je, sheria inaongelea chochote juu ya standard ambazo rais lazima azifikie katika kutekeleza majukumu yake au akichaguliwa basi, mpaka miaka mitano tena?
3. Rais akitenda kinyume na katiba / akiikiuka katiba, je, sheria inasemaje?
* je, kiapo cha kuilinda katiba huwa kina nguvu, matakwa, maana au wajibu wowote kisheria?
4. Ni wapi kauli za rais zichukuliwe kama maagizo au maelekezo halali ya taasisi ya urais na ni mazingira gani kauli hizo zichukuliwe kama matamshi ya mtu binafsi.
Mfano : kama rais anakawaida ya kutumia kilevi kinachodhoofisha uwezo wake wa kufikiri na kupambanua mambo sawasawa, je, akitoa maamuzi mazito katika hali ya ulevi, sheria inasemaje?
Kwa sasa niishie hapa!
Tahadhari : Sijamsemea / Sija reference mtu yoyote in particular.
Natamaani tu kupata uelewa juu ya haya mambo.