Swali kwa wafanyabiashara wote?? kuna mfanyabiashara yupo tayari kutoa siri kwa watu wengine??

Swali kwa wafanyabiashara wote?? kuna mfanyabiashara yupo tayari kutoa siri kwa watu wengine??

hahahahaha chief uko sawa kabisa, inanikumbusha hawa jamaa wa network marketing wanavyoapproach mteja mpya. wanamwambia kuna fursa ya biashara sehemu flani. inalipa sana unakuwa bilionea in few days. ukiingia kwa ile fee yako, wao wanalipana commission. dawa ya 2000 watakuuzia 50000 ili wagawane commission. mfumo ni ule ule, new member pays the old.

siku zote members wa mwanzo watapiga sana pesa za hawa nyumbu wageni mchezoni. afu ile scheme itajifia. kama zilivyo network marketing nyingine. mtu hushawishi watu kuwa uko waliko kuna pesa nyingi sana. ametajirika na anaishi maisha ya kifahari....mfano (blandima wa forever, mr chilato wa forever, ben wa D9 na ontario wa JF ) .hii itashawishi wengi kuingia. na watamlipa sana uyu aliewaalika.

Ontario anakamfumo anataka akilete hapa mjini, na yeye atapata advantage of being the first. ngoja niwaambie kitu wakuu. foreign currency exchange in real world sio kitu kigeni kabisa. ni kitu valid na kinafanyika sama in real world. hata wewe unaweza ukafanya kwa much secured mode. nunua dola, ukihisinzinashuka una uza unanunua currency inayopanda kwa faida. kwenye wachumi kuna kitu kinaitwa arbitrage, kama sijakosea spellings. hii ni kwamba unanunua dola nchi ambayo dola inauzwa bei rahisi then unauza mahali wanaponunua dola kwa bei ya juu...una tengeneza faida. ila kumbuka huu utofauti ni wa points chache sana. naweza nunua dola 1 posta kwa tshs 2230 nikaenda kuiuza tegeta kwa 2235. faida ni iyo sh 5. faida ni sh 5. sasa ili niingize pesa nyingi kama faida, natakiwa kwenda kununua dola 10000 kwa 22,300,000 nikauze kwa shs 2235 kwa dola (22,350,000). faida itakuwa 50000.

ili kupata hii faida kwa siku, lazma uwe na mtaji wa around 22 mil.....wale waliojaa mihemko hawajua hili.

ilo ni moja...huu mfumo nnao uzungumzia ni mfumo halisi kabisa, na unafanya sana kazi. ila ngoja niuelezee mfumo wa uyu jamaa Ontario.

forex trading wa Ontario ni decentalized system. hauko regulated na yoyote yule. unaoperate in black market. ni mchezo wa kampa - kampa tena. wazungu wanasema ni zero sum game. na wakikata zile charges za brokers basi unakuwa ni negative sum game. mchezo wa hasara.

huu mchezo ni trading wa forex baina ta traders wenyewe kwa wenyewe. mfano...masood kipanya amewaweka watu kwenye kijiji cha maisha plus. hawa watu wakaamua kujiwekea mfumo wao wa kubadilisha pesa za kigeni. basi ili kuingia unatakiwa udeposit pesa kwenye account ya masood ya bank. then unapewa mobile application unaweza kutrack rates za currencies mbalimbali.

kwaiyo kinachofanyika, masood anakuwa anacontrol rate..,akiamka asubuhia ataset kwenye application (wao wanaziita platforms) kuwa euro leo ni $1.5 watu watauza nankununua. ikumbukwe watu watakao uza ni walewale, na watakao nunua ni wale wale....kuna mtu yuko juu ana control tu rates...nyie mnashikana mashati uku chini. sasa kwenye huu mfumo, mjanja ndo anakula....na ukiona nimekula dola 500, basi ujue kuna trader ameliwa $500, au trader kadhaa wameliwa icho juml ya icho kiasi kwa kiwango tofauti tofauti.

biashara hapa pia ipo kwenye commission, ile kuwaambia watu hali ya iyo imaginary market ilivyo....au kumanage account zao..sio wote wenye uwezo wa kwenda na kasi za huu ujanja ujanja....,niliona mzee mmoja kule mstaafu anataka kuliwa kichwa kwa kutupia pension yake amedai amehamasika. sasa hawa account yao wakifanikiwa kugain, anatoa commission kwa manager wake......hawajasema pesa ikiliwa tunamshika nani shati.

yan huu mchezo ni upuuzi sana.....yani ni fiction wameamua kuweka kwenye reality. mwaka juzi DSE waliweka mfumo wa ajili ya wanafunzi wa vyuo kulifahamu soko la hisa. basi unawaomba wanakuunga. nanwanakupa pesa ya maandishi tu kuwa una laki moja. kwaiyo, cheza nayo. kila baada ya muda flani wanabadili thamn za hisa za kampuni za kuhalisika, sasa wewe unacheza nazo, unauza zinazoshuka na kununua zinazopanda...mchezo ulikuwa mzuri sana. maana ile laki ya maandishi ilikuwa inapanda mpka kufikia laki nne.

sasa fikiria, mfumo ule ule wa DSE, na zile hypothetic companies zenye hisa ndo utumike hapa, ila tu instead ya kutumia pesa ya maandishi, virtual currency, wewe utumie actual money..nikwambie deposit kwenye account tunakuwa tunazungusha mzigo wako kwenye hisa za kampuni za kufikiriaka ( pesa halali ila makampuni ya kufikirika). kwaiyo tukiamka asubuhi, tunasema hisa flan zimepanda, , nikamaliza chai niseme hizi zimeshuka....kwaiyo wewe ulioweka laki moja kwa kununua hisa 100 kwa 1000 kila hisa, ikifika mchana, nikasema thamani za hisa hizo zimeshuka mpka 800, wewe utakuwa umeshaliwa 20000 tayari. ila uunapoliwa, kuna mwenzio amekula, ..etc ila wewe ukifanikiwa kuotea unaweza kununua hisa sehemu flan kwa sh 1000 kwa hisa, ikifika jioni ukaambiwa hisa wa hawa jamaa zimepanda mpka 1300, ukawa umekula 300 kwa kila hisa.

kamchezo ka kijinga sna haka Ontario anataka kuwaletea watanzania....,kawasomesha na mavitabu.. while the logic is simple. afu ukiangalia mara nyingi rates zao hazifanani sana na zile za soko la dunia. bimafsi ningemshauri utunze heshima yake kwa kuendelea kuhamasisha miradi ya ufugaji na kilimo, asiwaingize watu kwenye huu upuuzi

nimechoka kuandika mkuu..ila haka nikaujasiriamali wa kutumia sana akili. watu wataliwa sana vichwa hapa.......wataliwa sana vichwa kwa akili sana....huu ndo uwanaume sasa...kumwibia mtu bila yeye kujua kama anapigwa....muda wa kinywaji huu siku njema.....au rusheni jelo jelo ada ya darasa nikanywee balimi.

1. Kwahiyo mkuu unachotaka kusema Ni kwamba hapa duniani hakuna kitu kinacho itwa online/real time forex trade? Na Kama kipo basi ni utapeli?

2. Mfano ulitolea wa kununua posta kuuza tegeta hiyo ni exchange kati ya USD na TSH lakini forex trade inahusisha kufanya exchange ya pair zaidi ya moja ikiwa na maana kwamba kwa kiwango kidogo cha pesa unaweza kufanya trade kwa pair zaidi ya moja kumaximize profit per day. Hili una ongeleaje?

3.kuna hawa wanaitwa capital market regulatory authority, hii ni mamlaka ya serikali inayosimamia biashara za namna hii. Unawajua? Hapa chini ni majukumu yake naamini watu wanaweza kupata ukweli Kama Ontario ni tapeli. Maana tusije tukawakosesha watu fursa kwa mihemko yetu kumbe kitu ni real

43d4eeafcf309aa58edcf08c3a05b1ca.jpg

4. Kama jibu namba 1 ni hapana, je Ontario Afanye nini ili hili wazo lake liwe halali na lipate imani kwa wadau Kama wewe mlio wataalamu kwenye haya mambo?

Nawasilisha
 
Ahsante kwa changamoto hii uliyotupa. Ila kuna kitu ninaitaji unieleweshe.
Umesema kama nimenunua hisa asubui kwa sh 1000 then baada ya muda zikashuka hadi sh 800. Kwani ninalazimishwa kuziuza kwa bei hiyo iliyoshuka? Kwani siwezi kuendelea kuzihold nikisubiri bei ipande au nitakapoona bei inaridhisha ndio niamue kuziuza
Kwenye platforms nyingi kunakuwa na time frame ya kuuza na kununua.
 
Ahsante kwa changamoto hii uliyotupa. Ila kuna kitu ninaitaji unieleweshe.
Umesema kama nimenunua hisa asubui kwa sh 1000 then baada ya muda zikashuka hadi sh 800. Kwani ninalazimishwa kuziuza kwa bei hiyo iliyoshuka? Kwani siwezi kuendelea kuzihold nikisubiri bei ipande au nitakapoona bei inaridhisha ndio niamue kuziuza

mfano, kuna kipindi hisa za precision zilikuwa juu sana, enzi zile Air tanzania inapumulia mashine na kabla fast jet jaijaingia mjini. ukahamasika ukanunua hisa 1000 za thamani ya sh 5000 kila moja...kwaiyo ulinunua kwa mil 5. leo hisa za precision zimeshka mpka 700. jumla thamani za hisa zako ni 700,000 tu. je hizi hisa utamuuzia nani....nanhata ukisubiri miaka 2 mbele, dalili hazioneshi precision kupanda tena. kampuni imezidiwa sana na ushindani. kwa maana iyo zile mil 4.3 kuzirecover haitakuwa rahisi tena.
 
Ok mkuu, ngoja tuzidi kutafuta information kwasababu hii kitu inavutia sana kwa kuisikiliza
 
Swali moja la msingi. Mkuu umeajiriwa? Maana huu uchambuzi ni wale wajiitao wasomi lakini hawana pesa mfukoni...😀😀😀😀😀. Kamwe siwezi chukua ushauri kwa mtu ambaye kaajiriwa yaani kuna mjanja mwingine ana akili kluliko yeye anamlipa asilimia kumi ya anacho zalisha.... Wasomi mna shidaa kwa kweli na mtakufa maskini.. Forex trading ni biashara halali. Sema ulipaswa kuwahabarisha watu kwamba ndani yake pia kuna utapeli lakini post yako ni ngeative vibaya kuhusu Forex trading in general kitu ambacho sikubaliani nacho.
Foreign exchange market - Wikipedia
 
mi nimeuliza swali hujajibu swali.. ila unaniuliza swali?? jibu swali plz.. usiondoke nje ya mada...

Swali halikuwa directed kwako. Ni kwa mdau aliyekuwa anaiponda forex trading in general (Anaitwa Ginner). Hayo ya watu wa humu jamii forums sio concern yangu sana 😀😀😀
 
Swali halikuwa directed kwako. Ni kwa mdau aliyekuwa anaiponda forex trading in general. Hayo ya watu wa humu jamii forums sio concern yangu sana 😀😀😀

okay pole sana karibu sana ofisin kwangu uniunge mkono

Kuna watu wanafundisha namna ya kuwa milionea kwa kutumia Forex. Lakini wenyewe wanashindwa kutumia hizo skills.
 
Ahsante kwa changamoto hii uliyotupa. Ila kuna kitu ninaitaji unieleweshe.
Umesema kama nimenunua hisa asubui kwa sh 1000 then baada ya muda zikashuka hadi sh 800. Kwani ninalazimishwa kuziuza kwa bei hiyo iliyoshuka? Kwani siwezi kuendelea kuzihold nikisubiri bei ipande au nitakapoona bei inaridhisha ndio niamue kuziuza
Jamaa ame fail kuelewa jnc faida ya forex inapatikana vp, yeye anafikir zile point pekee ndio faida, ni kwmb faida inakokotolewa kwa kutumia leverage/position yako n.k.
 
Back
Top Bottom