Swali kwa wafanyabiashara wote?? kuna mfanyabiashara yupo tayari kutoa siri kwa watu wengine??


1. Kwahiyo mkuu unachotaka kusema Ni kwamba hapa duniani hakuna kitu kinacho itwa online/real time forex trade? Na Kama kipo basi ni utapeli?

2. Mfano ulitolea wa kununua posta kuuza tegeta hiyo ni exchange kati ya USD na TSH lakini forex trade inahusisha kufanya exchange ya pair zaidi ya moja ikiwa na maana kwamba kwa kiwango kidogo cha pesa unaweza kufanya trade kwa pair zaidi ya moja kumaximize profit per day. Hili una ongeleaje?

3.kuna hawa wanaitwa capital market regulatory authority, hii ni mamlaka ya serikali inayosimamia biashara za namna hii. Unawajua? Hapa chini ni majukumu yake naamini watu wanaweza kupata ukweli Kama Ontario ni tapeli. Maana tusije tukawakosesha watu fursa kwa mihemko yetu kumbe kitu ni real



4. Kama jibu namba 1 ni hapana, je Ontario Afanye nini ili hili wazo lake liwe halali na lipate imani kwa wadau Kama wewe mlio wataalamu kwenye haya mambo?

Nawasilisha
 
Kwenye platforms nyingi kunakuwa na time frame ya kuuza na kununua.
 


mfano, kuna kipindi hisa za precision zilikuwa juu sana, enzi zile Air tanzania inapumulia mashine na kabla fast jet jaijaingia mjini. ukahamasika ukanunua hisa 1000 za thamani ya sh 5000 kila moja...kwaiyo ulinunua kwa mil 5. leo hisa za precision zimeshka mpka 700. jumla thamani za hisa zako ni 700,000 tu. je hizi hisa utamuuzia nani....nanhata ukisubiri miaka 2 mbele, dalili hazioneshi precision kupanda tena. kampuni imezidiwa sana na ushindani. kwa maana iyo zile mil 4.3 kuzirecover haitakuwa rahisi tena.
 
Ok mkuu, ngoja tuzidi kutafuta information kwasababu hii kitu inavutia sana kwa kuisikiliza
 
Swali moja la msingi. Mkuu umeajiriwa? Maana huu uchambuzi ni wale wajiitao wasomi lakini hawana pesa mfukoni...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Kamwe siwezi chukua ushauri kwa mtu ambaye kaajiriwa yaani kuna mjanja mwingine ana akili kluliko yeye anamlipa asilimia kumi ya anacho zalisha.... Wasomi mna shidaa kwa kweli na mtakufa maskini.. Forex trading ni biashara halali. Sema ulipaswa kuwahabarisha watu kwamba ndani yake pia kuna utapeli lakini post yako ni ngeative vibaya kuhusu Forex trading in general kitu ambacho sikubaliani nacho.
Foreign exchange market - Wikipedia
 
mi nimeuliza swali hujajibu swali.. ila unaniuliza swali?? jibu swali plz.. usiondoke nje ya mada...

 
mi nimeuliza swali hujajibu swali.. ila unaniuliza swali?? jibu swali plz.. usiondoke nje ya mada...
Swali halikuwa directed kwako. Ni kwa mdau aliyekuwa anaiponda forex trading in general (Anaitwa Ginner). Hayo ya watu wa humu jamii forums sio concern yangu sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Swali halikuwa directed kwako. Ni kwa mdau aliyekuwa anaiponda forex trading in general. Hayo ya watu wa humu jamii forums sio concern yangu sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

okay pole sana karibu sana ofisin kwangu uniunge mkono

 
Kuna watu wanafundisha namna ya kuwa milionea kwa kutumia Forex. Lakini wenyewe wanashindwa kutumia hizo skills.
 
Jamaa ame fail kuelewa jnc faida ya forex inapatikana vp, yeye anafikir zile point pekee ndio faida, ni kwmb faida inakokotolewa kwa kutumia leverage/position yako n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…