Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 May 23, 2018 #1 Kuna mteja wangu anataka kuingiza pesa kwenye business account yangu kutoka Canada. Je vipi tra wanaruhusu? Nitakatwa kodi? Nitakaywaje?
Kuna mteja wangu anataka kuingiza pesa kwenye business account yangu kutoka Canada. Je vipi tra wanaruhusu? Nitakatwa kodi? Nitakaywaje?
C ccf Senior Member Joined Apr 29, 2014 Posts 125 Reaction score 68 May 23, 2018 #2 TRA wanaruhusu, kodi haikatwi maana inaingia moja kwa moja kwenye account yako. Chek na bank yako wakupe swift codes na other details
TRA wanaruhusu, kodi haikatwi maana inaingia moja kwa moja kwenye account yako. Chek na bank yako wakupe swift codes na other details
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,229 Reaction score 13,442 May 23, 2018 #3 Anataka kuweka hela kam nini Loan au grants au ananunua share