Swali kwa Wakenya: Bado mnamhitaji Magufuli awe Rais wenu?

Hili swali aulizwe Prof. Lumumba. Sometimes huwa nashindwa kumwelewa kama "ziko sawa".
 
Ukweli ni kwamba wakenya walio wengi (ukiacha hao wamasai wanaopakana na loliondo kwa upande wa tz) wanampenda ngosha saana tu......kwa kiswahili cha kule wanakuambia "Magufuli yuko sawa"!!
Saurce mie mwenyewe, hata next wk nimo huko.
 
Reactions: Oii
Kosa la Rais Magufuli kwa Wakenya liko wapi?
Kenya sio Chadema; sio ACT; sio CUF; TL; sio Hashim Rungwe ambao unaweza kuwasweka rumande muda wowote; ukawepeleka mahakamani au kuwapa dhamana au usiwape muda wowote na jinsi yoyote unavyojisikia.

Kenya ni nchi huru inayojitegemea; ni jirani; ni member wa EAC; n.k. Unapodili na issues zinazohusu entity kama hii diplomasia ya hali ya juu ni lazima itumike. Ndio maana kuna wataalamu wa diplomasia; sio kwa bahati mbaya ila ni kwa sababu hii. Na Mkuu wa nchi ndiye mdiplomasia namba moja katika nchi.
 
Hiyo ndio diplomasia hata kama moyoni na kwenye vyombo vyao vya ndani unafiki umejaa lakini publicly hizo ndio lugha za kutumia. Neno moja linaweza kulipua nchi na neno moja linaweza kuiponya. Kazi kwako kuamua utumie neno lipi, wapi, lini, na kwa tone ipi.
 
2025?? Miwili hii tuu noma, mpaka anasema "nilisukumiziwa' unazani mchezo?
Kwa vile alisukumizwa basi 2020 tunamsukumiza out tena.
Kwa katiba ipi? Akikataa kutoka mtamfanya nini?
 
Wewe unapojiuliza ni chanini pengine wenzio wanajiuliZa watakipata lini!

Hila kwa hili sekeseke la mkubwa... sijui ‍♂️‍♂️

Naomba nisiwe msemaji wa wakenya
 
Kanyaga Twendeez Baba mpaka 2060. [emoji38][emoji38]

Mtalimia Meno this time. [emoji481]Pooov !! [emoji23][emoji23]

Wengine tushaanza kusoma namba kwa Kifaransa. Onze, Douze, Treize, Qurante Un, Qurante Deux. [emoji38][emoji38]

Super Breakfast Chai Maharage at Downtown Mama Ntilie u kno.
 
Waafrika bana ndio maana hatuendelei, hakika naungana na Mh. Donald Trump kuwa Afrika inapaswa iendelee kutawaluwa kwakua hata haki zetu za msingi hatuzielewi hususani ''Uhuru " wetu waafrika. Lazima Wakenya watambue Uhuru wake unapoishia ndipo Uhuru Wetu au Nchi nyingine unapoanzia hivyo eidha wanamchukia(hate) au wanampeda(love)Magufuri si hoja lamsingi anatekeleza ktk kusimamia Sheria, kanuni na utaratibu wa Nchi yetu

Ushauri kwa Wakenya na baadhi ya wabongo wanaoshadadia ktk kumlaum Mh. Magufuri.
Wakenya wanatakiwa wamlaumu Mh. Uhuru Kenyatta kwa kuodhi Maeneo Makubwa yy na baadhi ya Tabaka tawala ambao wamepelekea Kenya kuwa na uhaba wa ardhi pia sehemu kubwa ya maeneo yamebinafsishwa kwa wazungu , hivyo kumnyooshea kidole Magufuri ni kutafuta lawama zisizo za msingi
 
Wewe unapojiuliza ni chanini pengine wenzio wanajiuliZa watakipata lini!

Hila kwa hili sekeseke la mkubwa... sijui ‍♂️‍♂️

Naomba nisiwe msemaji wa wakenya
Kila shetani na mbuyu wake!
 
Wale wanajielewa vichwa MAJI hawawezi pelekeshwa katiba yao nzuri aimpi MTU mmoja Madaraka yote,kila kitu kinakwenda Kwa katiba sio kutegemea na kiongozi kamkaje.Ndo maana yule mfanani alipigwa chini Kwa Sera zake
 
Tungependa awe rais wa Tanzania kwa muda mrefu sana. Kuja Kenya itakua kama kuwnda abroad. Clearance ya hali ya juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…