Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa la Rais Magufuli kwa Wakenya liko wapi?
Kenya sio Chadema; sio ACT; sio CUF; TL; sio Hashim Rungwe ambao unaweza kuwasweka rumande muda wowote; ukawepeleka mahakamani au kuwapa dhamana au usiwape muda wowote na jinsi yoyote unavyojisikia.Kosa la Rais Magufuli kwa Wakenya liko wapi?
Hiyo ndio diplomasia hata kama moyoni na kwenye vyombo vyao vya ndani unafiki umejaa lakini publicly hizo ndio lugha za kutumia. Neno moja linaweza kulipua nchi na neno moja linaweza kuiponya. Kazi kwako kuamua utumie neno lipi, wapi, lini, na kwa tone ipi.“Kenya-Tanzania relations are longstanding, rich and complex and should not be jeorpadised by a hardening of positions over minor issues that can be easily resolved through candid and open dialogue,” Kenya's Foreign Affairs Political and Diplomatic Secretary Tom Amollo is quoted as having told Pindi during the meeting in Nairobi Read more: Kenyan govt angry after Magufuli burns over 6,000 chicks,sells cattle confiscated from Kenyan herders
Kwa katiba ipi? Akikataa kutoka mtamfanya nini?2025?? Miwili hii tuu noma, mpaka anasema "nilisukumiziwa' unazani mchezo?
Kwa vile alisukumizwa basi 2020 tunamsukumiza out tena.
Tunajua upo kazini ila ungepaswa u relax tu aiseeee,,,andika vizuriUpende usipendo ndo Rais hadi 2025
Hataki ujirani mwema,na tunajua kabissa kuwa jirani yako ndio ndugu yakoKosa la Rais Magufuli kwa Wakenya liko wapi?
Labda kama atakuwa Rais wa serikali ya wanafunziUpende usipendo ndo Rais hadi 2025
Kila shetani na mbuyu wake!Wewe unapojiuliza ni chanini pengine wenzio wanajiuliZa watakipata lini!
Hila kwa hili sekeseke la mkubwa... sijui ♂️♂️
Naomba nisiwe msemaji wa wakenya