Swali kwa waliooa tu

Swali kwa waliooa tu

@TF, wanashangaa duduz? Ha ha ha huu usanii kabisa.
 
haya babu. Nasikia vibabu vya zamani havipendi kubishiwa. Lol.

halafu laana ya babu ni mbaya wewe....Hebu nenda kalale basi...Waachie wachumba wahangaike kutafuta mahari na blanket ya Babu!
 
babu mwambie akakung'oe ndevu na mvi
Hii kazi itamfaa sana alafu aone kibabu kinavyosinzia kwa jicho moja

Yaani hadi hapo bado una mashaka na maelezo ya Babu...Hebu jiandae tukale mahari ili ujionee mwenyewe kwa vitendo!!

Audio ni ngumu sana ila audio/visual ni very very simple!! Try it!
 
Back
Top Bottom