Babu anaelewa ndo mana kakuelewesha kirahisi, wengune twazunguka zunguka maana hata sie hatuelewi vizuri
haya babu. Nasikia vibabu vya zamani havipendi kubishiwa. Lol.
babu mwenyewe mjanja mjanja, hatoi majibu direct.
Yaani hadi hapo bado una mashaka na maelezo ya Babu...Hebu jiandae tukale mahari ili ujionee mwenyewe kwa vitendo!!
Audio ni ngumu sana ila audio/visual ni very very simple!! Try it!