Swali maalum kwa makamanda.
Wanachadema naomba muongozo wa katiba yenu, je vipindi vya uongozi hasa mwenyekiti ni miaka mitano, kumi, ishirini, thelathini au ni milele hadi kifo?
Tuelewesheni ili tuelewe huko uongozi ukoje maana vyama vingine tumeona mtu kapiga miaka kumi anastaafu sasa kwenu ikoje?
Na je mnaifuata katiba yenu kweli au ndio Bora liende tu tia maji tia maji?