Ushajibu tayariNaona leo mmeamuwa kweli kweli. Au nasema uongo ndugu zangu?
Siyo kumuachia Lissu,ni yeye kutoka na watu wengine wagombee,atakayeshinda awe mwenyekiti.Chama kimegubikwa na UmangiMeza, Mbowe ni wakati wa kumuachia Hatamu Jemadari Lissu.
Hatupokei ushauri kutoka kwa wanaCCM.Mbowe ni Muhuni aliejitenga na wenzie, iko kiti amwachie Baba wa Ukweli TL.
Hakika maana hawa wana vichwa vilivyotiwa kivuli yaani hakuna ubongo.Hatupokei ushauri kutoka kwa wanaCCM.
Toka bumu limetoka unaona kelele zote chipukizi wamepata hela ya bandoNaona leo mmeamuwa kweli kweli. Au nasema uongo ndugu zangu?
Kawaulize wanaokulipa elfu 30 watakupa jibu! Chama hakikuhusu na wewe siyo mwanachama lakini unauliza kinafiki ili update nini?Swali maalum kwa makamanda.
Wanachadema naomba muongozo wa katiba yenu, je vipindi vya uongozi hasa mwenyekiti ni miaka mitano, kumi, ishirini, thelathini au ni milele hadi kifo?
Tuelewesheni ili tuelewe huko uongozi ukoje maana vyama vingine tumeona mtu kapiga miaka kumi anastaafu sasa kwenu ikoje?
Na je mnaifuata katiba yenu kweli au ndio Bora liende tu tia maji tia maji?