Swali kwa wana-jamiiforums

Swali kwa wana-jamiiforums

tonge nyama

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2008
Posts
380
Reaction score
499
Wadau mimi nataka kutumia baadhi ya picha zilizomo humu zinazohusiana na research yangu kwaajili ya kuandika report for academic purposes. Sasa nauliza je ninayo idhini ya kufanya hivyo, au zipo copyrighted? Kama sivyo je idhini hiyo nitaipata kwa nani na kwa tumia njia zipi?

Picha zenyewe ni zile zinazohusisha mafuriko yaliyotokea Dar wiki iliyopita.
help please
 
Wasiliana na MoDs, wangependa kukusaidia hasa invisible!
 
Wadau mimi nataka kutumia baadhi ya picha zilizomo humu zinazohusiana na research yangu kwaajili ya kuandika report for academic purposes. Sasa nauliza je ninayo idhini ya kufanya hivyo, au zipo copyrighted? Kama sivyo je idhini hiyo nitaipata kwa nani na kwa tumia njia zipi?

Picha zenyewe ni zile zinazohusisha mafuriko yaliyotokea Dar wiki iliyopita.
help please

Sidhani kama itakuwa ni tatizo kuzitumia.....lakini ili upate uhakika zaidi nashauri mPM Invisible a confirm!
 
wakikuruhusu pls usisahau kutanabahi kuwa source ya picha hizo ni JF. mtumie PM Robot (sijui anatumia tanesco au betri maana hata umeme ukizima yeye yupo tu) naaminia anaweza kukuruhusu.
big time
 
Back
Top Bottom