Swali kwa wanaoamini uwepo wa Mungu

Swali kwa wanaoamini uwepo wa Mungu

Je kwanini mnaomba maisha marefu hapa duniani wakati Kuna maisha mazuri mbinguni Kwa baba , kwanini kifo kinaogopwa wakati ni njia ya kwenda Kwa baba kula Raha , kufurahi maisha mazuri yasiyo na dhiki
Msanii wa reggae Joseph Hill a.k.a Culture aliwahi kuimba

"Holy Place"

Anasema Why preachers, evangelistss, believers afraid to Die? Who gonna go to the Heaven of Jah? Because every one hates to die.

How will you go Jah if you don't want to die?

Because we all Sinners!

Mtu mwovu anaogopa sana kufa.
 
Ndugu wazazi/walezi Sio vizuri kuwaachia watoto wawe wanachezea simu.
Usiweke kebehi, au we ni mchungaji umechukia baada ya kuona mtoa mada amegusa biashara yako?

Hoja ni ya msingi na yenye mashiko, zinahitajika hoja rational kum-challenge na sio kuweka kebehi.

Kebehi kama hizo ndio zilizomponza Mwamnyeto kwenye game ya leo.
 
Je kwanini mnaomba maisha marefu hapa duniani wakati Kuna maisha mazuri mbinguni Kwa baba , kwanini kifo kinaogopwa wakati ni njia ya kwenda Kwa baba kula Raha , kufurahi maisha mazuri yasiyo na dhiki
Watu wengi hawamuamini Mungu mkuu.

Wanajitahidi kuonekana wanamuamini Mungu kama "virtue signaling", katika jamii inayowahukumu wasioamini Mungu na kuwazawadia wanaoamini Mungu.

Pia, kuna watu wengi wana maswali mengi yasiyo na majibu na yanawatisha, na hawawezi au hawataki kufanya kazi ya kuyajibu na kupata ufumbuzi wa matatizo. Kitu pekee cha kuwapa faraja ya haraka ni imani kwamba Mungu yupi na yeye ata control kila kitu. Hapo si kwamba watu wanamuamini kweli Mungu, Mungu kawekwa kama chaka la kutupia shida zote ambazo watu wamezishindwa.

Watu wangekuwa wanamuamini Mungu kama.wanavyosema wasingeogopa kufa hivi.
 
Nimeandika makusudi nilitegemea comment kama hiii...

Turudi kwenye hoja za member hapo..
Anza kumjibu mkuu
 
Watu wengi hawamuamini Mungu mkuu.

Wanajitahidi kuonekana wanamuamini Mungu kama "virtue signaling", katika jamii inayowahukumu wasioamini Mungu na kuwazawadia wanaoamini Mungu.

Pia, kuna watu wengi wana maswali mengi yasiyo na majibu na yanawatisha, na hawawezi au hawataki kufanya kazi ya kuyajibu na kupata ufumbuzi wa matatizo. Kitu pekee cha kuwapa faraja ya haraka ni imani kwamba Mungu yupi na yeye ata control kila kitu. Hapo si kwamba watu wanamuamini kweli Mungu, Mungu kawekwa kama chaka la kutupia shida zote ambazo watu wamezishindwa.

Watu wangekuwa wanamuamini Mungu kama.wanavyosema wasingeogopa kufa hivi.
Huu ni uongo usiothibitika kwa namna yoyote ile zaidi ya kujipa matumani ya uongo uwongo tu🤔
 
Mimi sina tatizo na habari za Mungu zikiwa presented kama imani.

Imani haihitaji uthibitisho, haihitaji kuwa kweli. Definition ya imani ni kukubali kitu bila uthibitisho wala uhakiki kwamba ni kweli.

Imani kila mtu anaweza kuwa na yake na zikapingana na kila mtu akawa na haki ya kuwa na imani yake.

Nina tatizo na habari za Mungu zikiwa presented kama fact.

Fact inahitaji uhakiki na uthibitisho, inahitaji kuwa kweli.

Fact haiwezekani kila mtu akawa na yake.
 
Je kwanini mnaomba maisha marefu hapa duniani wakati Kuna maisha mazuri mbinguni Kwa baba , kwanini kifo kinaogopwa wakati ni njia ya kwenda Kwa baba kula Raha , kufurahi maisha mazuri yasiyo na dhiki
1) Hatuombi kuishi maisha marefu ila huwa tunaomba tuishi kwa kadiri itakavyompendeza Mungu
2) tuliopo katika Imani hatuogopi kifo kwa maana tunajua ipo siku lazima tutakufa
3) kifo sio njia pekee ya kwenda kwa Mungu.
 
Je kwanini mnaomba maisha marefu hapa duniani wakati Kuna maisha mazuri mbinguni Kwa baba , kwanini kifo kinaogopwa wakati ni njia ya kwenda Kwa baba kula Raha , kufurahi maisha mazuri yasiyo na dhiki
Ni kama mtoto anapolia anapoingia ulimwenguni.
Ni hofu ya kuelekea maisha mapya,na kutokuyajua
 
Utasiki long leave for king/queen, ukiwa huku jalalani utasikia emungu mjalie kiongozi wetu maisha marefu na afya tele.
 
Back
Top Bottom