kevoomarcus
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 495
- 905
Msanii wa reggae Joseph Hill a.k.a Culture aliwahi kuimbaJe kwanini mnaomba maisha marefu hapa duniani wakati Kuna maisha mazuri mbinguni Kwa baba , kwanini kifo kinaogopwa wakati ni njia ya kwenda Kwa baba kula Raha , kufurahi maisha mazuri yasiyo na dhiki
Usiweke kebehi, au we ni mchungaji umechukia baada ya kuona mtoa mada amegusa biashara yako?Ndugu wazazi/walezi Sio vizuri kuwaachia watoto wawe wanachezea simu.
Watu wengi hawamuamini Mungu mkuu.Je kwanini mnaomba maisha marefu hapa duniani wakati Kuna maisha mazuri mbinguni Kwa baba , kwanini kifo kinaogopwa wakati ni njia ya kwenda Kwa baba kula Raha , kufurahi maisha mazuri yasiyo na dhiki
Nimeandika makusudi nilitegemea comment kama hiii...Usiweke kebehi, au we ni mchungaji umechukia baada ya kuona mtoa mada amegusa biashara yako?
Hoja ni ya msingi na yenye mashiko, zinahitajika hoja rational kum-challenge na sio kuweka kebehi.
Kebehi kama hizo ndio zilizomponza Mwamnyeto kwenye game ya leo.
Hoja imewalenga wanaoamini Mungu.Nimeandika makusudi nilitegemea comment kama hiii...
Turudi kwenye hoja za member hapo..
Anza kumjibu mkuu
Huu ni uongo usiothibitika kwa namna yoyote ile zaidi ya kujipa matumani ya uongo uwongo tu🤔Watu wengi hawamuamini Mungu mkuu.
Wanajitahidi kuonekana wanamuamini Mungu kama "virtue signaling", katika jamii inayowahukumu wasioamini Mungu na kuwazawadia wanaoamini Mungu.
Pia, kuna watu wengi wana maswali mengi yasiyo na majibu na yanawatisha, na hawawezi au hawataki kufanya kazi ya kuyajibu na kupata ufumbuzi wa matatizo. Kitu pekee cha kuwapa faraja ya haraka ni imani kwamba Mungu yupi na yeye ata control kila kitu. Hapo si kwamba watu wanamuamini kweli Mungu, Mungu kawekwa kama chaka la kutupia shida zote ambazo watu wamezishindwa.
Watu wangekuwa wanamuamini Mungu kama.wanavyosema wasingeogopa kufa hivi.
Mimi sina tatizo na habari za Mungu zikiwa presented kama imani.Huu ni uongo usiothibitika kwa namna yoyote ile zaidi ya kujipa matumani ya uongo uwongo tu🤔
OkayHoja imewalenga wanaoamini Mungu.
Mi siamini
1) Hatuombi kuishi maisha marefu ila huwa tunaomba tuishi kwa kadiri itakavyompendeza MunguJe kwanini mnaomba maisha marefu hapa duniani wakati Kuna maisha mazuri mbinguni Kwa baba , kwanini kifo kinaogopwa wakati ni njia ya kwenda Kwa baba kula Raha , kufurahi maisha mazuri yasiyo na dhiki
Ni kama mtoto anapolia anapoingia ulimwenguni.Je kwanini mnaomba maisha marefu hapa duniani wakati Kuna maisha mazuri mbinguni Kwa baba , kwanini kifo kinaogopwa wakati ni njia ya kwenda Kwa baba kula Raha , kufurahi maisha mazuri yasiyo na dhiki