Swali kwa wanaofahamu mambo ya biashara au mikopo ya bajaji?

Swali kwa wanaofahamu mambo ya biashara au mikopo ya bajaji?

6 Pack

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
3,952
Reaction score
8,807
Niaje waungwana

Ikitokea mtu ana Mil 5 keshi, lakini anahitaji bajaji mpya. Akienda katika dula linalouza, au kukopesha bajaji Dar na mdhamini wake. Kisha awambie kuwa ana Mil 5, anaomba bajaji ya mkopo akaanzie kazi, halaf zitazobaki watalipana kwa mkataba wa malipo ya kila siku, hata ikibidi riba ya juu hadi atapomalizia deni, inawezekana?

Na je kwa vile atakuwa ameshatoa kiasi kikubwa cha hela ( yani zaidi ya nusu ya bei ya bajaji ) riba yao itakuwa sawa na ile ya mtu anaekuja kukopa akiwa na kiasi kidogo cha hela?

Mwenye uelewa tafadhali!
 
Back
Top Bottom