Swali kwa wanasheria je kesi ya Tundu lisu ina umuhimu na uharaka kulinganisha na mamia ya kesi zilizopo mahakamani?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Tunakubaliana kuwa haki ni muhimu kutendeka na ikaonekana inatendeka.

Je ni haki kwa kesi ya Tundu lissu kusikilizwa mfululizo na kwa uharaka kulinganisha na kesi nyingi zilizopo mahakamani?

Je ni haki kwa mahakama kuharakisha kusikilizwa na kutolewa maamuzi kwa kesi ya Lissu huku tukiacha maelfu ya kesi yakiendelea kuhairishwa.?

Kama kesi hii inapaswa kuharakishwa kuliko kesi nyingine tuambiwe kulingana na vifungu vya sheria.
TLS ituainishie namna mashauri yanavyotakiwa kupewa kipaumbele sisi tusiojua sheria.
 
Taratibu zinasema usimkamate mtu na kumuweka gerezani kama hauna ushahidi.

Mpaka sasa jamhuri hawana ushahidi kama Lissu ni mhaini. Sio sawa kumuweka gerezani,wamuachie huru. Hamna kesi hapo.
 
Tunakubaliana kuwa haki ni muhimu kutendeka na ikaonekana inatendeka.

Je ni haki kwa kesi ya Tundu lissu kusikilizwa mfululizo na kwa uharaka kulinganisha na kesi nyingi zilizopo mahakamani?

Je ni haki kwa mahakama kuharakisha kusikilizwa na kutolewa maamuzi kwa kesi ya Lissu huku tukiacha maelfu ya kesi yakiendelea kuhairishwa.?

Kama kesi hii inapaswa kuharakishwa kuliko kesi nyingine tuambiwe kulingana na vifungu vya sheria.
TLS ituainishie namna mashauri yanavyotakiwa kupewa kipaumbele sisi tusiojua sheria.
Hayo ni matokeo ya mahangaiko ya wabambikia kesi mchongo,kwani unataka na nyingine zikimbizwe kwani nazo mchongo za kubambikia?
 
Back
Top Bottom