Swali kwa Wanasheria, ni kesi zipi unaweza kufunguwa direct mahakamani bila kupitia Polisi?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Nauliza ni kesi zipi unaweza kufunguwa mahakamani direct bila kupitia Polisi kulikojaa rushwa na mtuhumiwa kuwa ndio mwenye haki?
 
Kesi nyingi za kufungwa jela ni za jinai.

Mahakama inategemea polisi na waendesha mashtaka kupeleka kesi mahakamani na ndipo mahakama inakaa kusikiliza.

Mahakama ya Tanzania haiwezi kuanzisha kesi.

India kuna Mahakama maalum (Cangaroo Court) ambazo zinaweza kufungua kesi na kuhukumu.
 
Kama nimekuelewa vizuri ni kesi za madai peke yake ndio unaweza kufunguwa mahakamani?
 
Sijamaanisha hivyo.

Nimesema kesi nyingi za kufungwa ni za jinai, yaani ukipatikana na hatia unafungwa.

Kwenye madai unatakiwa kulipa.

Mara chache sana mtu kufungwa katika kesi ya madai. Na hata kama akifungwa, mdai ndiye anawajibika kumtunza huko gerezani, na siyo serikali.
 
Umezungukaaa ila kwa muj8bu wa swali lake ungejibu tu YES!kesi za madai ndio unaenda mahakamani straight tofautina jonai lazima upitie polisi
 
Kwenye sheria hakuna jibu straight
 
Umezungukaaa ila kwa muj8bu wa swali lake ungejibu tu YES!kesi za madai ndio unaenda mahakamani straight tofautina jonai lazima upitie polisi
Je ikitokea mtu kashitakiwa kwa kesi ya Jinai,alafu bado mshitakiwa huyo anamfungulia tena kesi ya madai mtu aliyemshitaki kwa kesi ya Jinai! Hii imeekaaje Wanasheria, naomba kuwasilisha!!
 
Back
Top Bottom