Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kama nimekuelewa vizuri ni kesi za madai peke yake ndio unaweza kufunguwa mahakamani?Kesi nyingi za kufungwa jela ni za jinai.
Mahakama inategemea polisi na waendesha mashtaka kupeleka kesi mahakamani na ndipo mahakama inakaa kusikiliza.
Mahakama ya Tanzania haiwezi kuanzisha kesi.
India kuna Mahakama maalum (Cangaroo Court) ambazo zinaweza kufungua kesi na kuhukumu.
Sijamaanisha hivyo.Kama nimekuelewa vizuri ni kesi za madai peke yake ndio unaweza kufunguwa mahakamani?
Umezungukaaa ila kwa muj8bu wa swali lake ungejibu tu YES!kesi za madai ndio unaenda mahakamani straight tofautina jonai lazima upitie polisiSijamaanisha hivyo.
Nimesema kesi nyingi za kufungwa ni za jinai, yaani ukipatikana na hatia unafungwa.
Kwenye madai unatakiwa kulipa.
Mara chache sana mtu kufungwa katika kesi ya madai. Na hata kama akifungwa, mdai ndiye anawajibika kumtunza huko gerezani, na siyo serikali.
Kwenye sheria hakuna jibu straightUmezungukaaa ila kwa muj8bu wa swali lake ungejibu tu YES!kesi za madai ndio unaenda mahakamani straight tofautina jonai lazima upitie polisi
Je ikitokea mtu kashitakiwa kwa kesi ya Jinai,alafu bado mshitakiwa huyo anamfungulia tena kesi ya madai mtu aliyemshitaki kwa kesi ya Jinai! Hii imeekaaje Wanasheria, naomba kuwasilisha!!Umezungukaaa ila kwa muj8bu wa swali lake ungejibu tu YES!kesi za madai ndio unaenda mahakamani straight tofautina jonai lazima upitie polisi