Swali kwa wanaume: Kudindisha mara kwa mara ni ishara ya upendo wa dhati kwa mpenzi wako?

Swali kwa wanaume: Kudindisha mara kwa mara ni ishara ya upendo wa dhati kwa mpenzi wako?

Mimi nikiwa natembea mbele ametangulia mwanamke amejaaliwa lazima nidindishe
 
Hahahahaaaa ila itakuwa huyo si mwanaume ni mvulana aliyekuwa balehee

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hii hali hata me pia inanitokea. Yani nikiwa nae karibu lazma mjomba aamke.

Ni ishara ya kuonyesha ana hisia nawe!
 
Aisee, mapenzi ya dhati hayapo hivyo...hivyo anavyofanya ni vichochezi vya mwili tu...ila kudindisha ni muhimu sana kwa mwanaume kiafya
 
Back
Top Bottom