Swali kwa wanaume tu!!!!!! (waliooa au wenye wanawake)

ningemshukuru kwa kuniokoa, baada ya hapo tungeanza kesi kwa nini walikuwa wananon'gonezana na mke wangu..............ila mke wangu nooo siwezi kumwachia.
 
Nisingesema kitu

i think ningesubiri a day or two asira zikirudi nilitibue upya
 
We ni Mbarabaigi nini maana Simba Mjini atatoka wapi au unaishi porini ndugu yangu Duhhh Simba?? Nimecheka mpaka basi.

Story za Mama na Mwana raha kweli jamani aaahhh Umefanya siku yangu iwe poa
 

Simba ndani ya nyumba labda ni mipango ya mgoni. Nitaambia wamalize shughuli yao.
 
Labda anaishi kigamboni jamani karibu na dar es salaam zoo simba katoroka bahati mbaya. duh samahani nimepiga chabo:laugh:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…