MUREFU
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,331
- 352
Ile kitu nimeshindwa kwa email ya kupitia JF na kwa PM,nifanyeje????
ngoja niku2mie email yangu ya yahoo kupitia PM yako au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile kitu nimeshindwa kwa email ya kupitia JF na kwa PM,nifanyeje????
ningemzawadia mke na shukrani juu....:laugh::laugh:
We wa kiume?ningemzawadia mke na shukrani juu....:laugh::laugh:
###################################################################
Mfano wewe umesafiri kwa wiki 2,
unarudi ghafla unakuta mkeo ananong'ona na m2 chumbani
lakini ukiwa unawaza ha2a ya kuchukua
gafla unavamiwa na simba jamaa na mkeo wanatoka na kanga kiunoni
lakini jamaa anapambana na simba hadi anamuuwa, na kuokoa maisha
yako.
Ungekuwa wewe ndugu yangu ungechukua ha2 gani kwa mshkaji?
##################################################################