swali kwa wanaume tu

swali kwa wanaume tu

hi jamani kwanini mwanaume anapoanza mahusiano na demu mara ya kwanza wanatumia kinga ila mara ya 2 na kuendelea unapiga kavukavu kwa kusema eti tushazoeana ukipata maradhi utamlaumu nani nawakilisha

kama ndio ka mchezo kako uwe makini bana...mambo kwa soksi
 
hi jamani kwanini mwanaume anapoanza mahusiano na demu mara ya kwanza wanatumia kinga ila mara ya 2 na kuendelea unapiga kavukavu kwa kusema eti tushazoeana ukipata maradhi utamlaumu nani nawakilisha

Tumia njia zozote unazojua lakini Usarama kwanza! :focus: Hii ipo sana ni swala la imani ambayo hujengwa hata pasipo kwa tofari za tamaa!
 
<p>
hi jamani kwanini mwanaume anapoanza mahusiano na demu mara ya kwanza wanatumia kinga ila mara ya 2 na kuendelea unapiga kavukavu kwa kusema eti tushazoeana ukipata maradhi utamlaumu nani nawakilisha
</p>
<p>&nbsp;</p>

c....m zinaumiza bana,
 
Back
Top Bottom