Swali kwa Wanaume

Nilifikiri naniliuuu kumbe shingo
 
Yeye: Hapo shingoni ni nini?

Mimi: Wapi?

Yeye: Hapo...

Mimi: Hamna kitu

Yeye: Una maana gani hamna kitu?

Mimi: Namaanisha hamna kitu kwani kuna nini?

Yeye: Una love bite..

Mimi: Sorry sikusikii vizuri

Yeye: Nasema una love bite..

Mimi: Mbona sikusikii?

Yeye: Nini kimekupata?

Mimi: Hata sijui.

Yeye: Una love bite..

Mimi: Again sikusikii tena. Pia wimbo wa Rayvanny umefungiwa.
 
bby leo ndio nimeamini nyuki wanauma asee...

leo siwamening'ata bwana cheki hapa shingoni hadi pamebadilika rangi...yani shingo nzima naiona nzito hadi sasa hivi

nyuki hatari bwana
 
Kama Mimi ni mke wa huyo...
Akija hivyo ni MITAMA tuu mpaka achanganyikiwe.
Na lialama lenyew linavyochelewaga kuisha.
Nitamnyuka mpaka maji aite Mmah.
Kumwacha simwachi na mkong'oto utakuwa dozi mpaka alama iishe.
Extremely indigenous[emoji49]
 
Kama Mimi ni mke wa huyo...
Akija hivyo ni MITAMA tuu mpaka achanganyikiwe.
Na lialama lenyew linavyochelewaga kuisha.
Nitamnyuka mpaka maji aite Mmah.
Kumwacha simwachi na mkong'oto utakuwa dozi mpaka alama iishe.

Hahah, maji aitejee?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni lead oxide Hii leo tulikuwa na tour Kwa mkemia mkuu , ilinguka kutoka kwenye shelf, na huu ni moshi wake tu ingekuwa yenyewe mambo yangekuwa mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…