Mr. Purpose
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,468
- 2,767
Huyo utakayempiga siyo mwanaume ni mvulana tu! Hujakutana na wanaume!! Kama unabisha kiroho safi kuja PMKama Mimi ni mke wa huyo...
Akija hivyo ni MITAMA tuu mpaka achanganyikiwe.
Na lialama lenyew linavyochelewaga kuisha.
Nitamnyuka mpaka maji aite Mmah.
Kumwacha simwachi na mkong'oto utakuwa dozi mpaka alama iishe.