Swali kwa Wanaume

Swali kwa Wanaume

Kama Mimi ni mke wa huyo...
Akija hivyo ni MITAMA tuu mpaka achanganyikiwe.
Na lialama lenyew linavyochelewaga kuisha.
Nitamnyuka mpaka maji aite Mmah.
Kumwacha simwachi na mkong'oto utakuwa dozi mpaka alama iishe.
Huyo utakayempiga siyo mwanaume ni mvulana tu! Hujakutana na wanaume!! Kama unabisha kiroho safi kuja PM
 
Kuna kibaka alitaka kuniibia simu nikapambana nae, alikuwa yeye na mwenzake hata hivyo nimejitahidi kupambana nao ndio wakanijeruhi hapo mkononi na rungu
 
Kama Mimi ni mke wa huyo...
Akija hivyo ni MITAMA tuu mpaka achanganyikiwe.
Na lialama lenyew linavyochelewaga kuisha.
Nitamnyuka mpaka maji aite Mmah.
Kumwacha simwachi na mkong'oto utakuwa dozi mpaka alama iishe.
Kwa hasira na wewe una muongezea jialama jingine hahaha.
 
Kama Mimi ni mke wa huyo...
Akija hivyo ni MITAMA tuu mpaka achanganyikiwe.
Na lialama lenyew linavyochelewaga kuisha.
Nitamnyuka mpaka maji aite Mmah.
Kumwacha simwachi na mkong'oto utakuwa dozi mpaka alama iishe.
Aiseee, atakuwa anakuangalia tu
 
Back
Top Bottom