Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
mkuu kama hotojali naomba picha ya kiswaswadu tuone😂
Kimbaumbau ana raha yake bhana,unanyanyua kama unabeba mtoto umlaze kitandani alafu shughuli inaendelea hadi rahaJe,mama mjengo(mke) unapenda mwenye Mwili wenye mafuta au kaukau?
Na kwanini?
ndio ni mateso kuna wanawake wapana sana hawakumbatikiki 😂 😂Kama mbuyu tena?😳🤣🤣🤣
akitembea kidogo anahema kama scania mbovu 😂 😂 😂🤣🤣🤣🤣Aisee 🙌
wanawake mkishazaa mnajiachia sana acheni hizo na wale above 35🤣🤣🤣🤣 Mwee,mbavu zanguu🤣🤣
hiyo ni kweli kabisa na wengine wanakuwa wachafuNi kweli kabisa...na mazoezi hatufanyi😔
uchafu wapo rafu😳Wachafu Nini sasa?
yes mwonekanoU mean usmart wa mwonekano? Au papuchi?
wachache sanaMbona wanajitahidi sana kuwa smart