gfsonwin acheni mambo hayo! Inamaanisha wewe hujaona tofauti ya mlivyo sasa na mlivyokuwa mnaoga utotoni? The go take a bath with him now if it will make u understand! Kha kuingia chumbani kwa dadako kama sio forbidden then unapiga hodi mara mia mia. Hivi unazijua nguvu za shetani vizuri? Why is it written, "Ikimbieni zinaa"queenkami mamito miye ni mama lakin naomba nikujibu naweza lala na kaka yangu kwa rum moja kabisa tena hata kwa bedi moja. for god's sake mtu tuliyekuwa naye tukaoga pamoja utotoni leo hii nimhofie kulala naye chumba kimoja eti ataamsha hisia za ngono? hapana mumy. iko hivi kaka ni kaka na dada ni dada unless nyie mjitoe ubinadamu muwe wanyama but kama ni ndugu wa damu kabisa na ni binadamu basi wanaweza.
Mchumba wa rafiki yangu ana nyumba amejenga dar ambapo ameweka wapangaji lakini chumba kimoja Amempa dadake akae bure.Cha Ajabu ni kwamba Huyu kaka ambae Ni Mchumba wa rafiki yangu kila akija dar anashukia katika nyumba yake na kulala chumba kimoja na dada.Eti anatandika godoro chini na dada analalq kitandani.Swali langu kwa wanaume ni Je hivi unaweza kulala na dada wa tumbo Moja kwa baba na mama bila kupata hisia za ajabu?
gfsonwin acheni mambo hayo! Inamaanisha wewe hujaona tofauti ya mlivyo sasa na mlivyokuwa mnaoga utotoni? The go take a bath with him now if it will make u understand! Kha kuingia chumbani kwa dadako kama sio forbidden then unapiga hodi mara mia mia. Hivi unazijua nguvu za shetani vizuri? Why is it written, "Ikimbieni zinaa"
skiliza PetCash nikwambie lazima iwepo tofauti kati ya binadamu na manyani ama wanyama the man is making money, na pia anaangalia ku maximize profit istoshe hafanyi naye analala tu why should you be bothered? hivi kama huwez lala na dada yako utaweza kweli na shemeji yako wa kike rum moja? lazima tujifunze nidhamu bana
Swali langu kwa wanaume ni Je hivi unaweza kulala na dada wa tumbo Moja kwa baba na mama bila kupata hisia za ajabu?