Swali kwa wanaume

Swali kwa wanaume

queenkami

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2010
Posts
1,694
Reaction score
1,249
Mchumba wa rafiki yangu ana nyumba amejenga dar ambapo ameweka wapangaji lakini chumba kimoja Amempa dadake akae bure.Cha Ajabu ni kwamba Huyu kaka ambae Ni Mchumba wa rafiki yangu kila akija dar anashukia katika nyumba yake na kulala chumba kimoja na dada.Eti anatandika godoro chini na dada analalq kitandani.Swali langu kwa wanaume ni Je hivi unaweza kulala na dada wa tumbo Moja kwa baba na mama bila kupata hisia za ajabu?
 
Awe na mvuto asiwe na mvuto Hisia Zipo kama binadamu uliye zaliwa kamili kabisaaaaaa
Ila kinachofanyika ni kujiheshimu, kwasababu kama Baba mzazi anaweza kula cha mwanae,
itashindikana kaka? so kuji control. sasa sikjui kama huyo jamaa nanauwezo huo,, na kingine
kiafrica hayo mambo hayapo kabisa,, hairuhusiwi kuingia hata kwenye chumba cha dada yako
so inakuwaje kulala chumba kimoja
 
queenkami mamito miye ni mama lakin naomba nikujibu naweza lala na kaka yangu kwa rum moja kabisa tena hata kwa bedi moja. for god's sake mtu tuliyekuwa naye tukaoga pamoja utotoni leo hii nimhofie kulala naye chumba kimoja eti ataamsha hisia za ngono? hapana mumy.

iko hivi kaka ni kaka na dada ni dada unless nyie mjitoe ubinadamu muwe wanyama but kama ni ndugu wa damu kabisa na ni binadamu basi wanaweza.
 
Last edited by a moderator:
King'asti asante kwa jibu mpenzi wangu ila napenda kusikia majibu ya kaka zetu.Mimi pia naweza kulala na kakangu na nisihisi kitu ila labda iwe hakuna jinsi maana mimi ningempa hela alale hotel au ningelala kwa rafiki hadi aondoke
 
ah hiyo mbona ipo sana...tena sio ndugu tu hata kama ni rafiki wa kike naweza lala nae chumba kimoja na kisitokee chochote hasa kama mwanamke mwenyewe humpendi
 
queenkami mamito miye ni mama lakin naomba nikujibu naweza lala na kaka yangu kwa rum moja kabisa tena hata kwa bedi moja. for god's sake mtu tuliyekuwa naye tukaoga pamoja utotoni leo hii nimhofie kulala naye chumba kimoja eti ataamsha hisia za ngono? hapana mumy. iko hivi kaka ni kaka na dada ni dada unless nyie mjitoe ubinadamu muwe wanyama but kama ni ndugu wa damu kabisa na ni binadamu basi wanaweza.
gfsonwin acheni mambo hayo! Inamaanisha wewe hujaona tofauti ya mlivyo sasa na mlivyokuwa mnaoga utotoni? The go take a bath with him now if it will make u understand! Kha kuingia chumbani kwa dadako kama sio forbidden then unapiga hodi mara mia mia. Hivi unazijua nguvu za shetani vizuri? Why is it written, "Ikimbieni zinaa"
 
Last edited by a moderator:
Kwanza kwa nini alale chumba kimoja na dada yake?

Mtu aliyeweza jenga ny7umba atashindwaje lala gesti hata ya sh.5000?

Naweza lala na kaka yangu chumba kimoja bila matatizo lakini kweli mazingira yawe yanatulazimisha kufanya hivyo labda tumesafiri tumekosa vyumba vya kutosha lakini hii nasafiri ili kuja kulala chumba kimoja na dada ni laana tu.
 
Mchumba wa rafiki yangu ana nyumba amejenga dar ambapo ameweka wapangaji lakini chumba kimoja Amempa dadake akae bure.Cha Ajabu ni kwamba Huyu kaka ambae Ni Mchumba wa rafiki yangu kila akija dar anashukia katika nyumba yake na kulala chumba kimoja na dada.Eti anatandika godoro chini na dada analalq kitandani.Swali langu kwa wanaume ni Je hivi unaweza kulala na dada wa tumbo Moja kwa baba na mama bila kupata hisia za ajabu?

Unapata hisia kama kawaida na kama na yeye kapata hisia na mnakubaliana basi mnakulana tu, mbaya ni kubakana tu.

Mbona huo ni mchezo wa kawaida sana na wengi huanza ngono wakiwa nyumbani, kuna wengi wanafanya na baba na mama na shangazi na wajomba na babu zao. Ni taboo na ni aibu ndio maana huyasikii, lakini yapo.
 
Inawezekana kabisa madhara yoyote yasitokee ila na wasiwasi kama huyo ni dada yake kweli kimaadili hawawezi kulala chmba kimoko kwangu haniingii akilini.
 
unawezaje kumtamani dada yako! ebo! hata kama wewe kicheche kwa mademu, hakuna hisia utakayopata from your sister.
 
gfsonwin acheni mambo hayo! Inamaanisha wewe hujaona tofauti ya mlivyo sasa na mlivyokuwa mnaoga utotoni? The go take a bath with him now if it will make u understand! Kha kuingia chumbani kwa dadako kama sio forbidden then unapiga hodi mara mia mia. Hivi unazijua nguvu za shetani vizuri? Why is it written, "Ikimbieni zinaa"

skiliza PetCash nikwambie lazima iwepo tofauti kati ya binadamu na manyani ama wanyama the man is making money, na pia anaangalia ku maximize profit istoshe hafanyi naye analala tu why should you be bothered? hivi kama huwez lala na dada yako utaweza kweli na shemeji yako wa kike rum moja? lazima tujifunze nidhamu bana
 
Last edited by a moderator:
kiukweli hisia ni kitu cha ajabu kama uta kicontrol lakini kuhusu kulala na dada wa tumbo moja ni kitendo cha kawaida sana iwapo Kaka na Dada wamekua pamoja tokea wadogo hivyo kuchukilina kama Dada na Kaka.
 
skiliza PetCash nikwambie lazima iwepo tofauti kati ya binadamu na manyani ama wanyama the man is making money, na pia anaangalia ku maximize profit istoshe hafanyi naye analala tu why should you be bothered? hivi kama huwez lala na dada yako utaweza kweli na shemeji yako wa kike rum moja? lazima tujifunze nidhamu bana

@gfsonwin eh! shemeji yangu wa kike nafanya nini naye rum?
Sikiliza my sister, Watoto wa Adamu walioa dada zao baba mmoja mama mmoja...It has explanation
Watoto wa loti walizaa na baba yao...hiyo ni biblical examples-na umeshasikia watu wengi sana dunia hii wamezaa na kaka/baba/mama zao!

Ni kweli tunatakiwa kutumia akili ambayo ni mojawapo ya vitu vinavyotutofautisha na wanyawa. Na tukifanya testing kuna a good number of us who can pass but kwa kweli we shouldn't encourage kaka na dada kulala one room.
Tena nathubutu kusema something fishy is going on between those two! Kha! Ubahili gani huo una nyumba unalala one room na dada...mi ckubali hata one second!
 
Vyote vinawezekana kutegemeana na "akili" za wahusika wenyewe na mazingira yanayopelekea dada na kaka kulala chumba kimoja! Zingatieni tu kuwa hakuna pepo baya kama la ngono/zinaa....halikemewi bali linakimbiwa!
 
hamna hisia zozote dada angu,ata nkimuona ndugu yangu wa kike kakaa vibaya instead ya kusisimka kwa mapenzi hua naona aibu na najisikia vibaya,ukiwa na filings mpaka kwa dadaako tumbo moja i think haupo sawasawa
 
Swali langu kwa wanaume ni Je hivi unaweza kulala na dada wa tumbo Moja kwa baba na mama bila kupata hisia za ajabu?

@quuenkami! Nini dada yangu? Bana. Hata wewe tukilala wote halafu ukadai hutaki mitombo, wala sidindishi! Ni akili tu kucheza nayo kuiandaa.

Ndimi Bazazi!
 
Back
Top Bottom