ndo maana niliweka nadhiri sitamega nje ya ndoa yangu na kwa miaka saba sasa nimefaulu kutokumega nje. mimi naonavyo kwanza hakuna mwanaume asiyempenda mkewe labda tofauti inakuja kwenye tafsiri ya kupenda ni nini na mipaka yake wapi inaishia kitu cha kwanza maumbile wanawake mnamsemo kwamba ile kitu sio chaki huwa haiishi. mwanaume hadhi yake heshima yake yote inalindwa na mkewe, km unabisha mtaani kwenu fanya uchunguzi km mke wa mtu anatoka nje ya ndoa mwanaume utadharaulika sana mtaani hutaonekana wewe ni mwanamme rijali personally hata mwenyewe unaweza ukawa kichaa. nna mfano halisi kuna jamaa yangu alioa, mwanamke kabla ya hapo alikuwa masomoni cuba 4 yrs. aliporudi jamaa aka propose demu alionekana kusita sita lkn jamaa aliimbisha na km kawaida wapambe na mashosti wa demu wakamshawishi sana demu akakubali, mama wa mwanaume aliiona ile sitasita ya demu akamwambia mwanae huyu mwanamke anaonekana hayuko tayari kuishi na wewe lkn jamaa yeye mapenzi yalimpofusha hakuliona hilo ndoa ikafungwa arusha. after 8 month demu akapata scolarship japan miaka miwili shule tena jamaa akafurahi wife akaenda japan. jamb na yeye kumbe walipanga baadaye na mwaume aache kazi amfuate mkewe japan kule akatafute kazi wakati wife anasoma lkn siku zilivyokwenda mawasiliano yakawa pungufu, friends wakamwambia aende fasta akacheki kulikoni, mchizi akaomba likizo ya mwezi akauza na carina yake akapaa japan, dah kufika kule bwana akakuta mambo si mambo kumbe pale chuoni waafrika wapo wawili tu, huyu dada na mnigeria mwanaume halafu mpopoo ndo anamega wife wa jamaa, kumbuka jamaa alikwea pipa bila kumtaarifu wife kwamba nakuja, jamaa alipoyashuhudia hayo akageuza akarudi bongo hata kurudi kwake ilikuwa kimya kimya tu, hali yake ikabadirika ghafla akawa anadondoka dondoka anasema sema hovyo akapelekwa nairobi kwa matibabu hata aliporudi hakuwa bd fiti wengine wakamshauri aoe na wakamtafutia mwanamke ingawa alimkubali na wanaishi wote lkn jamaa yupo km kazubaa flani hivi tayari effects zilishaharibu ubongo akikaa sometimes udenda unamtoka tu. inaniuma sana nikimwona the guy ana csp ya materials management.mwanaume hapendi na itamnyanyasa sana na kumtesa kuona, kusikia kuna mtu kaoga kwenye kisima chake, mwanaume akioa au km ni ktk uhusiano anaamini kabisa yeye ndo the best pale, haiyumkiniki mwanaume mwingine apite pale. ila mwanaume akimega nje basi huonekana mjanja ktk jamii, wengine ni ishara ya kuwa na pesa, wengine huonekana rijali, asiyetawaliwa na mwanamke ilimradi kuhalalisha tu matendo maovu. mwisho km huamini mmeo anakupenda hata km anamega nje jaribu kumwambia mtu awe anakuandikia tu sms za mapenzi kwa testing halafu jifanye km umesahau simu uone jamaa atakavyochanganyiki wa hamtalala siku hiyo.